Mrusi aliyetengeneza Ak-47

Hakika, ni mojawapo ya kifaa kilichokunywa damu nyingi sana.
 
Hizi unazoziona bongo ni SMG 56 type au kwa jina lingine ni Ak 56 hii ni submachine gun tofauti kabisa na Ak 47 ambayo ni assault rifle na kama hujui silaha hutaweza kuzitofaitisha zinafanana sana kimuonekano
 
Russia ndo ilikuwa kila kitu kwa Soviet au huyo jamaa anaiona Soviet ni wapi
 
Kinachokufurahisha ni kuwa urusi siyo wagunduzi wa hiyo bunduki siyo?nonsense!
 
Kwanza mnatakiwa kujua kuwa michael kalashnikov alikuwa mvumbuzi(design) wa Ak-47 na sio mtengenezaji maana yeye hakuwa na kiwanda.watengenezaji wa Ak-47 ni kiwanda cha Kalashnikov group kilichoanzishwa mwaka 1807 na ni mali ya Urusi.

Michael kalashnikov alilipwa ela kwa ku design Ak 47 na ili kumpa eshima zaidi walimpandisha cheo kutoka sergeant mpaka kuwa lieutenant general.
AKA 47 ni mali ya soviet si Urusi kama jamaa anavyodai. Urusi si Soviet.
 
Hizi unazoziona bongo ni SMG 56 type au kwa jina lingine ni Ak 56 hii ni submachine gun tofauti kabisa na Ak 47 ambayo ni assault rifle na kama hujui silaha hutaweza kuzitofaitisha zinafanana sana kimuonekano
Ndio hizi wanazobeba polisi ?
 
Nenda you tube utaona majaribio yote ya ak kuna kutupwa kwenye tope zito na ikagonga kazi kama kawa,kuna kuchimbiwa,kuna kulowekwa kwenye maji zote hizo na walifanya hivyo kuilinganish na ile sijui inaitwa m16 carbine ya marekani
Bora umejitetea.. walitaka waanze kukuunganisha na panyaroad Mkuu
 
Huyu jamaa ni lazima alikuwa ni wakala wa shetani maana hii imekunywa Sana damu za watu
 
Msomali anaijuia AK kama masai anavyojua mifugo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…