Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........

Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........

Mm pia huwa pia sina imani hata nahawa wachungaji kundoo wao wengi ni wakina mama , wadada Na Sikuizi WAO wamekuwa kama zamani wadada wengi walikuwa wanakimbilia kwa waganga kwa shida zao za harakaharaka. Sikuhizi wanakimbilia KWA wachungaji Hadi Usiku MCHUNGAJI anamuombea KWA Simu ndio alale akitaka kufanya lolote MCHUNGAJI utakuta kwenye Simu zao majina wachungaji kibao nikuhama makanisa tu hadi kunawakati wachungaji wanakuja majumbani kuwaombea pia huwa wanaibada ya kuwaombea Pekeyao kwenye OFISI zao . Mungu akija kama kweli anachoma watu mtashangaa sana watakao chomwa . Kama ule wimbo aliimba Ferudhi aloneka MCHUNGAJI lakini alikufa KWA ngoma.
Ni Mwana FA ft LadyJaydee
 
Hakika, kwenye kwaya kuna mengi yanaendelea chini kwa chini. Mwalimu wa kwaya anaweza kuwatafuna mmoja baada ya mwingine hadi amalize sauti ya kwanza na ya pili yote.

umeandika kiuzoefu
 
Sijui tukimbilie wapi,.wachungaji nao wamefanya matatizo ya watu/waumini wao kama mtaji.....wale wasio na IMANI thabiti wamejikuta wanaangukia dhambini nakujuta zaidi,.aiseee MUNGU mwenyezi aturehemu na kutusamehe,....kwaya ndio uozo mtupu...
 
Absolutely, wachungaji nao wamewafanya watu kama mitaji, hasa "wanawake".
 
Absolutely, wachungaji nao wamewafanya watu kama mitaji, hasa "wanawake".
Tuna wakati mgumu saana sana,.kama una imani haba unaanguka dhambini,..huku kwetu tunasali kwa kutimiza sheria na wajibu tuu ila mioyoni mwetu tumemuacha Bwana.
 
Hakika, kwenye kwaya kuna mengi yanaendelea chini kwa chini. Mwalimu wa kwaya anaweza kuwatafuna mmoja baada ya mwingine hadi amalize sauti ya kwanza na ya pili yote.
[emoji23] [emoji23] anabakiza wa sauti ya nne na tatu tu hahaha...daah nilitaka kukuuliza sauti ya tatu anamwachia nani kumbe ni Wanaume
 
Back
Top Bottom