Unaona sasa,mnapeperusha upako wa bwanaUmenikumbusha siku moja tutoke kwenye sherehe ya Upadrisho nikaja nimem.... Siti za nyuma..
Unaona sasa,mnapeperusha upako wa bwana
Sijui ilifia wapi tena hii kwaya, nadhani na wenyewe waliendelea kunyatiana kidogo kidogo!Hahaa ikawaje, umeandika kama vile tunamkua na kumuona mkuu
Hakika, wana majina yao wanaitana kutoka huko kwenye vitabu, kama huna uzoefu huwezi kujua, sometime wanatongozana kwa kutumia "nota" yaani mwendo wa dosomifarelatisofafado kazi imeisha!Halafu wanatongozana kupitia mistari ya biblia
Kwaya bana wwngi wao wanaoana wao kwa wao,,,,Kwa wanaJF wasio juwa mambo mengi napenda kuwakumbusha kidogo. Nani anaikumbuka kwaya ya AIC Shinyanga?Unajua kilichowakuta waimba kwaya na baadhi ya waimini wengine?
Kama kawaida waimba kwaya wengi ni vijana na damu zinachemka,wakienda kwenye mazoezi au kutumbuiza mambo yanayoendelea huko ni hatari. Wanapomaliza kutumbuiza neno la Mungu wenye imani haba hurudi kutumbuizana wao kwa wao
Wale wanakwaya wa AIC Shy wa miaka ile wanatamba walipukutika kama jani limetiwa kiberiti,waliambukiza magojwa ya zinaa ikiwemo ngoma. Fuatilia stori hii kwa watu wa kule,ndugu zetu hawa walipeana ngoma mmoja baada ya mwingine katika Choir yao
Kwa kweli kwaya ni jambo zuri kwa sababu unamuimbia Bwana aliye Juu,lakini wengi wao wanakuwa mafuska sana
Kwa hiyo unapomruhusu mkeo au memeo kuwa muimba kwaya,muombee sana
HahaKuna ile kwaya ya tabata waliimba "ninatembea, kidogo kidogo nikinyata nyata"
Kuna jamaa pale aliwanyatia kisawasawa...
Watu na mauzoefu yenu!Hakika, wana majina yao wanaitana kutoka huko kwenye vitabu, kama huna uzoefu huwezi kujua, sometime wanatongozana kwa kutumia "nota" yaani mwendo wa dosomifarelatisofafado kazi imeisha!
Kuna ile kwaya ya tabata waliimba "ninatembea, kidogo kidogo nikinyata nyata"
Kuna jamaa pale aliwanyatia kisawasawa...
Ukitaka umrubuni mwanakwaya wa kike wewe mwambie njoo nikufundishe nyimbo mpya kisha wewe utawafundisha wenzako mbona utakuwa kama unashuka kitonga [emoji1] [emoji1]Kwa wanaJF wasio juwa mambo mengi napenda kuwakumbusha kidogo. Nani anaikumbuka kwaya ya AIC Shinyanga?Unajua kilichowakuta waimba kwaya na baadhi ya waimini wengine?
Kama kawaida waimba kwaya wengi ni vijana na damu zinachemka,wakienda kwenye mazoezi au kutumbuiza mambo yanayoendelea huko ni hatari. Wanapomaliza kutumbuiza neno la Mungu wenye imani haba hurudi kutumbuizana wao kwa wao
Wale wanakwaya wa AIC Shy wa miaka ile wanatamba walipukutika kama jani limetiwa kiberiti,waliambukiza magojwa ya zinaa ikiwemo ngoma. Fuatilia stori hii kwa watu wa kule,ndugu zetu hawa walipeana ngoma mmoja baada ya mwingine katika Choir yao
Kwa kweli kwaya ni jambo zuri kwa sababu unamuimbia Bwana aliye Juu,lakini wengi wao wanakuwa mafuska sana
Kwa hiyo unapomruhusu mkeo au memeo kuwa muimba kwaya,muombee sana
Mm pia huwa pia sina imani hata nahawa wachungaji kundoo wao wengi ni wakina mama , wadada Na Sikuizi WAO wamekuwa kama zamani wadada wengi walikuwa wanakimbilia kwa waganga kwa shida zao za harakaharaka. Sikuhizi wanakimbilia KWA wachungaji Hadi Usiku MCHUNGAJI anamuombea KWA Simu ndio alale akitaka kufanya lolote MCHUNGAJI utakuta kwenye Simu zao majina wachungaji kibao nikuhama makanisa tu hadi kunawakati wachungaji wanakuja majumbani kuwaombea pia huwa wanaibada ya kuwaombea Pekeyao kwenye OFISI zao . Mungu akija kama kweli anachoma watu mtashangaa sana watakao chomwa . Kama ule wimbo aliimba Ferudhi aloneka MCHUNGAJI lakini alikufa KWA ngoma.Yani ni bora Mtu akabaki kuwa muumini wa kawaida kuliko kujidai Kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba halafu Mtu anafanya uasharati !
Ndo maana saingine nguvu Za Mungu hazishiki Watu wakapokea uponyaji n.k
Wengine Wanabaki kuwa wauza sura tu!
Ikumbukwe kuwa Hata Shetani mwasisi alikuwa Kiongozi wa kuimba kwaya ya mbinguni!
Ndio mambo ya dododoremidosofafasolatilalasomi!Umefanya nicheke mpaka watu wamenishangaa
Kwani dada yako ni mwana kwaya??Hamna watu wafanya ngono km wanakwaya.