Ukitaka usiachwe tafta wazee wakufunde namna ya kumudu na utundu wa yale mambo ya chumban tuu... ukishindwa huko lazma umpoteze mtu hasa hasa kama hukumkuta na bikra yake awe wa ke/me.
Hizi za mshana jr ni kutafta laana ztazokutesa mbelen maana unamfunga mtu na moto wa jehanam hautakuacha siku za unyakulio.