Baada ya hujuma nyingi za CCM kuzuia mikutano ya CHADEMA kwa kuhofia kuibuliwa sakata la ufisadi wa pesa za maabara!!
Kesho tar 16, Jesca Kishoa ataitikisa Iramba ktk mkutano mkubwa utakaofanyika Kiomboi.
Kamanda huyu ameonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi, uwezo mkubwa wa kujenga hoja na amekuwa akivunja ngome za mwigulu kiulaiiini, mfn, ktk mikutano yake ya Ndago na Shelui wilayani iramba, amekonga mioyo ya wananchi wengi na kutoa matumaini mapya ya kuiokoa iramba.
Ktk ngome ya mwigulu KINAMPANDA, Jesca alipokea wanachama zaidi ya 90, kati ya hao, 30 ni waliokuwa makada wa cc-emu.
Mafisadi hawana chao Oktoba.