Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Zahara karudishwa kongo na kimbunga, chezeiya fitina wewe
Katulia twamkandaa kanda tu
Atakuja tu kila mtu atampigia magoti
Na tunawatangazia mapema 2015 ukiutaka Ukikwete bila kuwa Member JF huupati ng'o. Uongozi wote sasa hivi unapangwa JF, Tena safari hii MMU ndio wamepania kumtoa Kikwete mpya 2015.
hahahaaaa!!au anaumwa
maana mashabiki wa man u
presure zimewakumba!!
Bishanga ni hasidi asiye na jema atendalo. Lake yeye kuonea machungu maendeleo yangu tu.Umesomea fitina Havard?
Unaanza kunichokoza eeh? Ukiona simba kalala usidhani paka.
Ahaaaa man urinated they w
ent they went untill they deaded nafasi ya nane
Bishanga ni hasidi asiye na jema atendalo. Lake yeye kuonea machungu maendeleo yangu tu.
Keshajaribu kuniharibia maisha lakini kila jaribio limegonga mwamba.
Naskia eti ana VVU
Unaanza kunichokoza eeh? Ukiona simba kalala usidhani paka.
hahahaaaa!!shem mkiendelea
kupigwa namna hii,uhamie arsenal tu!!
Nyie ni baiskeli za mbao tumewatanguliza, tukianza kashkash zetu mwatupisha fasta!!!
Note my words.
thuuubuuuutuuuuuuu!!tupinge!!
nanilii aje akate!!
CC: tiefuefu. Mwenye akili apige kimya!
Liverpool forever we shall never walk aloneKwani nimebisha basi shem? Afu elewa kuwa zile ni team za wazungu na kuzisifia kiviile ni kijipachika utumwa wa ki-fiktra.
Naanza kuisapoti Lipuli FC kuanzia sasa!