Una roho ngumu kumzidi Edward Snowdden!
Kwa kuvumilia umaskini kwa huyo mume!
The secretary ni kimada tu
Twajilia vyetu.
Kwa hiyo unataka umgakue?
Muandiko wake tu mbona unajulisha sex yake!
The secretary ni kimada tu
Twajilia vyetu.
Kula mwaya, kula vitu vyako maana The secretary amezubaa sana sijui ndo biashara ya gongo ndio inamzubaisha?