Mrithi wa ufalme Arumeru

Mrithi wa ufalme Arumeru

Joined
Jun 26, 2011
Posts
13
Reaction score
2
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai karib na shule ya msingi. Alikutana na zaid ya makada 30 kutoka kata ya maji ya chai. Agenda ilikuwa ni posho ili aweze kuchaguliwa.
 
Umbeya huo
 
Nenda mwambie aliyekutuma hujatukuta.
 
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai karib na shule ya msingi. Alikutana na zaid ya makada 30 kutoka kata ya maji ya chai. Agenda ilikuwa ni posho ili aweze kuchaguliwa.

nawe pia ni great thinker??
 
kazi kwelikweli zamu ya posho kwa walalahoi imeshafika huko Arumeru!!!
 
namie mtakuja alumelu huko kula poshoooooooooooooooo wanatoa ngapi kwa siku? tuanze kunawa!
 
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai karib na shule ya msingi. Alikutana na zaid ya makada 30 kutoka kata ya maji ya chai. Agenda ilikuwa ni posho ili aweze kuchaguliwa.

Wiki end siku zote huwa ina mambo yake.... I hope you are done.... better you go off that place!
 
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai karib na shule ya msingi. Alikutana na zaid ya makada 30 kutoka kata ya maji ya chai. Agenda ilikuwa ni posho ili aweze kuchaguliwa.

Unafiki nafiki hivi......Aiseee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom