Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
wakuu heshima kwenu sana.
taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.
mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
Rejao
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
wakuu heshima kwenu sana.taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
Kama ni kweli mpe hongera.
Sasa wewe unataarifa za uhakika halafu unaombe ssis tukupe cv yake?
dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!
sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.
Wao waliomteua wanalidhika na CV yake sasa wewe ya nini?Kwa hiyo wewe haumini waliomchagua?