Mrisho nyuma!

Nilipoangalia ID yako na signature yako nikakumbuka kile kitabu cha "Mkimbizi"... Hivi huyu mwandishi aliwahi kuandika tamthiliya nyingine?
 
Wewe je haugongi nje????? kama hufanyi hivyo mpige chini ila kama ni tofauti vumilia kwani mla vya wenzie na vyake shurti viliwe ati!!!!
 
We ushaona mtu si muanifu! achana nae, kama anakusumbua sana, mwambie matendo yake ndio yatakurudisha ila ushamsamehe! unampa 5yrs ya kumchunguza
 
Nilipoangalia ID yako na signature yako nikakumbuka kile kitabu cha "Mkimbizi"... Hivi huyu mwandishi aliwahi kuandika tamthiliya nyingine?

Aliandika, MTUHUMIWA, MDUNGUAJI!! Namtafuta saana jamaa aisee
 
i dont believe in second chances ukizingua imekula kwako
 
tabia ni kama ngozi, kama marafiki zake walimshawishi atoke, kesho watamshawishi akuue. na kama unataka maumivu zaidi ya ayo msamehe uone. wajanja hao analia hapo tu anajua kitumbua chake kimeingia mchanga. huyo bosi wako mwambie ayo masuala binafsi mtayamaliza. ila siku zote MAPENZI HAYANA USHAURI USIJE UKAWA NA WEWE NDO UMEOZA HAPO SI TWABWABWAJA HAPA) FUATA HISIA ZAKO USIFUATE MACHO YAKO KAKA.
 
Tafuta muda wa kutafakari kwanza kwa kina, husifanye kitu kwa shinikizo au mawazo ya wengi. Nafsi yako ikushuhudie mwenyewe kutoa msamaha au kuacha kabisa. Ili husije kuendelea kuwa na donda lisilopona maishani mwako kwa kukumbuka yaliyopita.
 
Mkuu nakushauri kitu kimoja ili kupunguza uchungu wa misaada yako kwake mpige mimba kwanza halafu ndoa hakuna hii ni muhumu sana kwa afya ya akili yako.kwani usipofanya hivyo sasa halafu mtu mwingine amtupie mimba hakika itakuuma zaidi ya hii ya kugongwa nje.
 
Kaka hapo kwenye bold panaashiria kitu kama unatakiwa ukamuone daktari kwa tatizo la kutokuwa na akili ya kuchukua maamuzi sahihi. Uamuzi wa kuleta uzi kwenye forum hauendani na tukio ulilofanyiwa, ulitakiwa wewe mwenyewe uchukue uamzi sahihi kabla hata ya watu kufahamu yaliyokusibu, inatia aibu!
 
We ushaona mtu si muanifu! achana nae, kama anakusumbua sana, mwambie matendo yake ndio yatakurudisha ila ushamsamehe! unampa 5yrs ya kumchunguza

Dah!hii kali 5 yrs???utakua umemuundia tume ya uchunguzi au???hii nimeipenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dah!hii kali 5 yrs???utakua umemuundia tume ya uchunguzi au???hii nimeipenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwa kawaida mwanamke akikulilia ujue anajua wewe ni muowaji wengine alionao ni wachezeaje? sasa ukimpa 5yrs na kweli ukawa huna nia lazima atakimbia mwnyw kama hana feelings za ukweli.
 
Nilikuwa nacho cha Mtuhumiwa ila itanibidi kutafuta maana ni muda mrefu sana

Kwa hishima na taazima mkuu, hebu kitafute maana hakuna novel iliwahi kunisisimua na kunifundisha kama ile ya "Mkimbizi"... sijui nitamtafuta wapi yule mwandishi nimuombe aandike vitabu vingi...
 
Bro wangu aliniambiaga kuku akiisha Lala nje anageuka Kua kwale!! Achana na huyo msichana!!
 
kimbia kabisa piga chini kabisa
 
Kwa hishima na taazima mkuu, hebu kitafute maana hakuna novel iliwahi kunisisimua na kunifundisha kama ile ya "Mkimbizi"... sijui nitamtafuta wapi yule mwandishi nimuombe aandike vitabu vingi...

Aisee nisamehe niliandika haraka haraka bila kusoma. Nilikuwa nacho cha Mkimbizi! Jamaa nilimtafuta nakumbuka nilienda kwake zamani pale Kinondoni nadhani karibu na Biafra just kumuulizia kuhusu kitabu cha Mtuhumiwa.

Sidhani kama alitoa kitabu!
 
ajira za siku hizi......awe na msimamo ila asiongee na jazba akaharibu kazi yake.Aonyeshe msimamo wake kwa busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…