Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Usaliti unauma sana sana.Wewe msamehe na kama wadau wengine walivyosema,akapime vvu na akupe muda wa kufanya maamuzi.Kwani ingekuwa mmefunga naye ndoa hapo ndipo pangekuwa pagumu kuachana.
Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Lakini jamani mm sijui nikoje, hivi kweli mtu mkosaji huwa hapewi nafasi ya kujutia?? na kama akikiri kosa lake haruhusiwi kusamehewa tena bila masharti??
binti alikosea sawa tena sana, ila kama ametambua kosa lake na kukiri sion sababu ya kutomsamehe na istoshe wewe ni mwanaume nakuakikishia huwez kukutana na mwanamke malaika kwamba hatakaa akukosee.
huwa naamin zaid katika mtu kukiri kosa na kutubu na kubadilika, na bora mtu anayetubu na kuomba msamaha kwa kumaanisha kuliko mtu anayejificha kwenye kivuli cha wema ilihali ni mkosaji. nmtu anayekosa na kukiri kwa kumaanisha basi huyu yuko prone to kubadilika kuliko anayeyaficha makosa kwa kivuli cha wema.
anyways fuata myo wako kwan mm huwa nikoe mtu wa tofauti sana.
hivi mkuu waona hili ni kosa sana??
umewah kujiuliza je ingekuwa ni wee mwanaume umefanya hayo?
Kimbweka niliwah kumpa hubby wangu nafasi ya kubadilika alipokiri na kutubu kosa lake na mpaka leo ni good hubby ever.............tena najisifia kuwa nae period.
nilimsamehe na wala sijutii hata siku moja ingawa alileta mwanamke ndani, nikalala chumba cha watoto yeye akalala na mwanamke, na asbh nikawapikia kifungua kinywa, sikuona kama mume wangu ni mkosa bali niliona uongo wa shetani tu. sikuwah kumchukia wala kumwona mbaya maishani mwangu.
alipoona mapenzi yangu kwake ni makubwa, na wala sijawah kukosea kutimiza wajibu wangu kwake na kwa familia alirudi. Alipokiri, na kutubu kwa kumaanisha nilisamehe na tukaendelea na maisha. mpaka leo maisha yetu ni ya furaha na amani na baraka kila iitwapo leo.
kwangu mm maisha ni upendo, na upendo hauhesabu mabaya.
hakika MUNGU wetu ni wa kutumainiwa kwa kutuumba tofauti.......hiyo situation kwa upande wangu....kuitatua nikaridhika na moyo ukawa mweupe ni lazima mmoja awe marehemu....kwa siku hiyo au next day.......kwangu mimi HAIWEZEKANI........moyo wangu una kazi mbili tu.....kupenda na kufa.....mengine hayauhusu........
Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
naunga mkono hoja!!!!!!
Bado huna ndoa weye, ndo maana wasema hivyo.
Nilipokuwa sijaoa nilikuwa na mawazo kama yako. Baada ya kuoa na kuwa mtu mzima, na majaribu ninayopitia naona any one is vulnerable and can fall in adultery-especially men. Kama Mungu alitusamehe na anatusamehe why not forgive your spouse? Huwezi kumwacha mumeo au mkeo simply like that unless unfaithfullness imekuwa sehemu ya maisha yake.
Kwa bandiko la ndugu aliyeleta mrejesho, nashauri aachane naye kwa kuwa sio mkewe na hawajaingia agano la ndoa.
Kama hamjui maandiko kwenye biblia inafaa kukaa kimya. Ni andiko gani kwenye biblia linaruhusu uzinzi? Huyu bwana na huyo mwanamke wake ni wazinzi kwa mujibu wa maandiko. Kwa hiyo umejaribu kutoa ushauri amwache kwa kuwa hajamwoa. Kwani kuna andiko linasema ukiwa hujafunga nae ndoa ndo umwache akizini na mtu mwingine ambaye si wewe? Au kuna andiko ukiwa umefunga nae ndoa kwa kosa kama hilo usimwache kisa ni wanandoa? Uzinzi unabaki kuitwa uzinzi tu hata kama hamko kwenye ndoa ama vinginevyo.