Mrisho nyuma!

ha ha ha,basi una uzoefu sana aisee
Acha kabisa chalie yangu, kuna siku nilikipa ofa kidemu kimoja kikaagiza chips mishikaki 10 ya ng'ombe, 10 ya mbuzi, samaki, kuku na juisi mbili na bado kalisema naomba nauli ya daladala kama change imebaki
 
hivyo nikamwambia mimi basi tena!

Hongera kwa msimamo wako mzuri keep it up.

Kuna msemo mmoja unasema 'Mwanaume hageuki maneno, bali anageuka kitandani'
 
"ONE MISTAKE IS ALLOWED,REPETITION IS FORBIDDEN",hivi ungekuwa wewe ndo umecheat do u think huyo dada angekuacha kwelii??

Msamehe and take sometime to make follow up on her kama kweli anabehave vizuri go ahead with her if not then u can put her aside for good
 
Moyo wangu umeruka nikawaza mengine....................!
kama nawe ulikuwa unacheat poa
msamehe na endelea nae kum...haina makombo kama ulikuwa ucheat mpige kibuti tena cha nguvu
 

Pia kujipa nafasi ya kutulia na kutafakari juu ya uhusiano wenu ulivyokua. Ili kutoa uamuzi mzuri ni vyema pia nawe ukajiweka kwenye nafasi ya mkosaji uone je ungestahili kusamehewa? Au katika uhusiano wenu ww hujawahi kutenda kosa kama hilo? Iwe ulijulikana au hukujulikana uwe mwaminifu na roho yako kutoa hukumu sahihi bila kujipendelea au kupendelea
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wana JF wote! Nimeongea na yule mama na binti mwenyewe, nimeamua kumsamehe kwa kosa la kunisaliti, lakini swala la yeye kuendelea na mimi kama wachumba nimemwambia anipe muda, hadi mwezi wa tano nitampa jibu! Japo anaendelea kunitumia sms za kuniomba msamaha na kuomba tuendelee na uchumba wetu kama mwanzo! Ahsanteni wote kwa ushauri wenu!
 
Dah.......ninavyodhani....... kama angekuthamini asingemfunulia mwanaume mwingine.......tena kulala huko huko...... Huyo ni changudoa........

Like! Like! Like wife! umejawa na busara sana!
 
Preta umenichekesha sanaa lolz .. Eti lazima mmoja awe marehemu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa feedback. Neno msamaha unaoombwa si kusalitiwa bali ni kukubali kurudiana. Kwanza nikupongeze kwa hekima yako iliyodhihirika jinsi unavyolishughulikia suala hili mpaka sasa. Kama moyo wako bado unampenda, mrudie tu lakini baada ya kurijirisha ni mzima kwa kupimwa mara tatu (HIV), nadhani hiyo itakuwa si chini ya miezi 9. Kama atakuwa mwaminifu kwa kipindi chote hicho, na wakati huo utakuwa unafuatilia mienendo yake. Kama utaridhirika nawe na kuonyesha amebadilika kwa kipindi hicho, basi huenda atakuwa mke mzuri, utaamua cha kufanya. Lakini kama uvumulivu utamshinda, ataondoka yeye mwenyewe, kabla ya muda wenyewe kufika. Ila kwa sasa tulia na wala usiharakishe kutafuta binti mwingine wa kuchukua hiyo nafasi, itakuwa mapema sana. POLE NDUGU

 

Thats a wise decision msamaha ni maua ila kurudiana naye ndo issue jipe muda wa kufanya reflection ijapokuwa mimi naona mwishowe ni kumwacha jumla kama wengi walivoshauri hapa. Pole sana ndugu
 
1.Msamehe bure alafu mpe muda arudi katika akili yake ya kawaida. Huyu kashajeruhiwa akili yake na matukio yanavyokwenda.

2.Jipe muda wewe binafsi kwani una majeraha akilini pia.

3.Akitaka ukaribu usimkwepe kwani ndiyo dawa pekee ya watu wanaopatwa na majanga kama haya.

4.Kumbuka hujafa hujaumbika leo limemtokea yeye kesho laweza kukutokea wewe ukiwa naye au ukiwa na mpenzi mwingine. Wanaume ni kazi kukubali kosa linalohusu usaliti kwa wapenzi wao labda wakamatwe hapo kwa hapo.

5.Wasichana ni rahisi kudanganyika lakini pia ni rahisi kujirekebisha akishakosea.

6.Elewa wewe siyo wa kwanza kukutokea,kila mtu akiweka matukio yake humu itakua balaa.Tambua kuna watu wamepitia mambo kama yako na leo wanawatoto wakubwa na wameishi miaka mingi tu bila tatizo kama hilo kutokea tena. kila lakheri
 
Daaah wewe dada hapo jui embu acha sound zako eti hukuwahi mchukia..?huyo mume wako alipoleta mwanamke ndani mbona ni design ya sound za mchana hizo..sema ulikasirika na kumind vya kutosha then ukaamua upotezee kila binadamu ana kipimo chake juu ua mambo kwa kutofanya ulodai hukufanya either way it means hukumpenda vilivyo..acha habari hizo inabidi ukue kwamba huyo mumeo angecheat wakat wa uchumbanungeandika version nyingine kabisa..over..
 
Kaka hilo swala ni nyeti sana mkuu, wengi watakushauri ila ukweli utabaki palepale kwamba mtoto kapigwa!! Sisi tutakushaur lakin we ndo utakaeishi na huyo mwanamke, kikubwa usikilize moyo wako!!!
 
Hahaha mwanaume kazini hata kama una maumivu unajikaza ili hata ukifa the world will know that a single man stood against many and before the sun sets i will mend my broken heart
i love that sense of humor
hope you will get one and only the perfect one
 
Ndugu kumkimbia mwanamke uliyepata kumpenda kazi yake si haba-wengine yetu makubwa imebidi tukae kimya maana katika habari hii wengi ni mashabiki-hakikaka hakuna wa kukushauri ufanye nini -pole sana sana -TIME WILL GIVE EVERY THING INTO LIGHT
 

This is your private business. Usipende kuweka mambo yako hadharani. Wengine wanafurahi kuona unapata matatizo.
 
binadamu ni kawaida kukosea....unless wewe uko perfect...


ila ni kawaida wanaume mkikosa kutarajia kusamehewa ila mwanamke wako akikukosea unamkimbiza...

anyway follow your heart.........................:eyeroll1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…