yapo kama nyumbu ,hata kusoma uzi hakuna ni lawama tu.amesema hana wivu....wewe unasema ana wivu.....kuna majitu hayaelewagi kabisa..yani yenyewe ni mapambano tuuuu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
mwana fa??Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Na mnyama TID nae si anasemekana Ni chawaChawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Mwana Fa kumbe nae ni mwanaigo mtiifuChawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Mtoa habari za kiintelijensia huyoHuyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
Ni kama joti na tigo. Serikali imependa aina ya uimbaji wakeHuyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
Hadi kingwendu Ni mwanaigo Tena senior,kibakuli nae unamkumbuka?Nae alikua mwanaigo hatari Sana na ndie aliyemwingiza mkojani huko kitengoni.Mwana Fa kumbe nae ni mwanaigo mtiifu
Gagula wa CCM.Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
Mkuu inaonekana unajua mengi sana.Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
We' huogopi mkuu? Mpaka mwana f.......a? Duuuh sijui atapona nani?Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi kingwendu Ni mwanaigo Tena senior,kibakuli nae unamkumbuka?Nae alikua mwanaigo hatari Sana na ndie aliyemwingiza mkojani huko kitengoni.
Mzee Mavunde alipotea awamu ya 5, naona amerudi sasa.Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.
Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.
Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi kingwendu Ni mwanaigo Tena senior,kibakuli nae unamkumbuka?Nae alikua mwanaigo hatari Sana na ndie aliyemwingiza mkojani huko kitengoni.