Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
 
Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.

Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.

Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
 
Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
 
Usalama
 
Ni mla Hela Mkuu wa Pesa za Hamasa ( Promo ) na zisizo na Kazi za Serikalini na hata CCM pia.
 
Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.

Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.

Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
amesema hana wivu....wewe unasema ana wivu.....kuna majitu hayaelewagi kabisa..yani yenyewe ni mapambano tuuuu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ni Chawa Fur
Ni
chawa furani ivi anaetumika kama toiret pepar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…