Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,863
- 5,095
Kupitia hii Arusha Derby tutafahamu mengi ya sirini na uovu mwingi uliovalishwa nguo utabaki uchi wa mnyama
Aah wap unajua anachokifanya kondaboy hapa Mzee,? amewateka Madiwani,mabalozi ,polisi na system nzima ya Arusha. Ninachoona ni kuwa kondaboy anataka aukwae ubunge then waziri.Gambo ni chuma cha mjerumani ndiyo maana BASHITE amebaki kupiga roporopo majukwaani kumchafua ,najua GAmbo akitemeshwa basi jimbo linaenda UPINZANI.
Aah wap unajua anachokifanya kondaboy hapa Mzee,? amewateka Madiwani,mabalozi ,polisi na system nzima ya Arusha. Ninachoona ni kuwa kondaboy anataka aukwae ubunge then waziri.
Mchezo Kama huo aliufanya Kigamboni na hakutoboa .Aah wap unajua anachokifanya kondaboy hapa Mzee,? amewateka Madiwani,mabalozi ,polisi na system nzima ya Arusha. Ninachoona ni kuwa kondaboy anataka aukwae ubunge then waziri.
Ndiyo mkuu, laaulah lakwata 😢!.Late RC?!!! Ulitaka kuandika Former RC?
OohMrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !
That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia .
Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.
Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .
Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.
Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
Mbona huko mahakamani kulionekana uzushi, Hence Makonda Failed abruptly.Evidence hutolewa mahakamani bwashee, siyo kwenye mitandao.
Mbona tayari mkuuHapo Gambo asipoangalia ataishia kuwa looser of the game!
Ngoja tuone ,mawingu tayari tusubiri mvua itanyesha au lahMchezo Kama huo aliufanya Kigamboni na hakutoboa .