Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia .

Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.

Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .

Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.

Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
 
Waache bhana, kwani wewe unawashwa na nini
 
Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

That is ur karmic debt.

Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.

Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .

Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.

Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
Ila Gambo kaongea ukweli wote.
Hata Ridhi One Kikwete alisema Makonda ni mtu wa hovyo alivosema anauza unga
 
Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

That is ur karmic debt.

Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.

Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .

Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.

Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
Dr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.
 
Gambo ni chuma cha mjerumani ndiyo maana BASHITE amebaki kupiga roporopo majukwaani kumchafua ,najua GAmbo akitemeshwa basi jimbo linaenda UPINZANI.
Watatumia ile kanuni inaitwa bora tukose wote .

Bashite VITA zake huwa ni za kitoto .

Na tungekuwa tupo serious na nchi Bashite asingepewa uongozi wowote
 
Dr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.
True Nimeandika hapo kuwa anavuna karmic debt yake
 
Dr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.
aka mbwa kala jibwa, atakayecheka wa mwisho ndio atacheka sana.
 
Kwa sasa hatakiwi kabisa na wajumbe wa CCM Arusha jiji. Hata system haimtaki kabisa kwa sasa.
Duh !!! Hapo ajiandae mapema na kujiajiri au kusambaza CV.

Hiyo ndo shida ya vijana kukosa Vision alipokuwa RC , DC hakuwekeza katika kujijenga vizuri kuwa full package .

Hii situation ndo ilimtokea makonda alipolitaka jimbo la Kigamboni.
 
Back
Top Bottom