Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

My friend unaleta hbar za mandela kwny ishu ya lema.
Hko n kumkosea adabu mheshmiwa madiba.
Nna uhakika madiba angekua na tabia za lema io miaka 27 asingefksha kabisaa..
 
kwa alichofanyiwa mbunge wa arusha mjini ni udhalilisha wa bunge kama chombo cha kutunga sheria, pia mahakama imejipunguzia hadhi yake.bado nasisitiza mbunge ni sehemu ya muhimili wa dola hapaswi kukamatwakamatwa hovyo hovyo.
Sheria ipi hiyo inayosema mbunge haruhusiwi kukamatwa ovyo?
 
Ujinga mbele kwa mbele. Sisi tuliopo Arusha tunajua kinachoendelea. Wakati utaamua maana ukweli na haki zina tabia yake
 
wanasema Jaamaa huwa anawatumia Vimemo mahakimi na majaji...akisingizia ameagizwa na Rais....lema asitoke.
 
Mtu asiye amini kuwa lema yuko ndani kwa shinikizo la mtu fulani basi watanzania tumeisha sijui kizazi chetu kijacho kitakueje.
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, akina Gambo zama zao zitapita tu afu waje wauone moto baadae.
 
Ipo siku tu viongozi wanagiki watajuta kwa unafiki wao mda unakaribia jipe moyo tutayashinda maovu ya ccm yote.
 
Uliyoyaandika hujayafanyia utafiti ukitaka kuujua ukweli jiulize kwanini wanashindwa na kuogopa kumpatia dhamana ambayo ni haki yake na ipo wazi kabisa
 
Asa nyumba ndogo za mh. zinahitajika nini katika bandiko lako. Mkuu,unaonekana na wewe una chuki na kiriba cha roho.
 
Mwanachama wa JF anategemea kuweza kufikiri nje ya box nakuona nyuma ya pazia.
Kama hukusoma na kufahamu lililotokea wakati Lema ananyimwa dhamana mara ya kwanza,basi hustahili kuhukumu usichokijua
Kama huwezi kuona mkono nje ya mahakama unaozui dhamana unaondokewa sifa ya kulizungumzia hili hapa .Comment kama hizi zinastahili FB kunako watu wanaojua kusoma na kuandika pasi ya kutoelimika
 
kwa alichofanyiwa mbunge wa arusha mjini ni udhalilisha wa bunge kama chombo cha kutunga sheria, pia mahakama imejipunguzia hadhi yake.bado nasisitiza mbunge ni sehemu ya muhimili wa dola hapaswi kukamatwakamatwa hovyo hovyo.
Hii picha natamani niendelee kuiangalia mpaka mwisho, nione hatima ya kila muhusika. Ninaamini yupo atakaefika mwisho wa hii movie akiwa amejeruhiwa na mwingine hata kufa kabisa. Lakini pia yupo atakaetoka akiwa mshindi mwenye Furaha. Ngoja tuone muda utuambie
 
Tusubiri tuone mambo yanavyokwenda, binafsi nimekuelewa Sana.
 

Yani kumfananisha Lema na Mandela ni ujuha kiwango cha lami....Lema ni mropokaji anayetafutaga umaarufu kwa maneno ya kipuuzi.....safari hii amechambia moto....Gambo sio wakili na hata kama anahusika na hii ishu sheria zitakua Zina mfavour...mbona mawakili wa Lema wako kimya??...wanajua kinachoendelea...akae ndani akitoka atajirekebisha
 
Dhihaka hizo Mungu anakiona
 
Lema aneongozwa na bangi ndo maana hana adabu,usitake kuleta propaganda zako hapa. Asiyejua dharau za Lema ni nani? kuna kipi kipya anachokifanya Lema hatukijui? Wacha aendelee kusota Kisongo maana huko ndo kwa watu wenye akili kama za kwake..!!
Hongera wewe ambaye siku ikifika utakuwa unalala hotelini.
 
Arusha wamepita wangap alipita Goliat hapo ndipo linapokuja swala la muda maana muda haudanganyi
 


"HESHIMUNI MAMLAKA ZA KIDUNIA" TUSUBIRI MAHAKAMA ITAAMUA ,KWA SASA KINACHOMKWAMISHA KUPATA DHAMANA NI SHERIA, LAKINI SUALA LA MSINGI LA UROPOKAJI LIPO PALEPALE ,KIFUPI HANA STAHA. BYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…