GE2025 Mrisho Gambo anastahili Ubunge Arusha, anazo sifa ,huyu mwingine ni mchonganishi na mfitini anatakiwa kupewa ubunge labda wa kuteuliwa !

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,308
Reaction score
4,687
Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !!

Hakuna miujiza atakayoileta Paul makonda pale Arusha ambayo gambo haiwezi ama hajaifanya !! Ccm ni ileile ,Kuna kichekesho kingine pale Arusha vita ni kubwa na nikana kwamba gambo ni mbunge wa upinzani na makonda ametumwa kulirudisha Jimbo la Arusha mjini kwenda CCM' ,kwanini picha Iko hivi, ni kwa sababu ya fitina za Paul makonda ambaye mara zote Kila anapoenda lazima atafute mtu wa kumbagaza ili mambo yake yaende !!

Nitawashangaa Wana ccm kama watakubali kuingia kwenye mfumo wa makonda na kumtupa mrisho gambo Ambae Arusha ni mzawa. na kumkumbatia mpita njia kwa sababu ya zile nyama choma au ile festival ya landlover na ama labda mashindano ya pikipiki .Arusha ni ile ile kilichobadilika ni mbwembwe tu na sio maendeleo !! Tunasubiri kuona akili za Wana ccm zilipo .

kama ccm inamtaka makonda aende bungeni na kama ccm wanaamini Kuna jambo jipya litatokea kwa makonda kwenda bungeni basi ateuliwe kama mbunge wa kuteuliwa lakini asipewe Jimbo kwa kuumiza aliowakuta !!
 
MAKONDA ANAWATESA SANA AISEE

Afu Makonda akiwa mbunge wewe unateseka na nini mkuu?Pambana kuitoa ccm sio kupambana na mtu mmoja kila siku
 
Nawakumbusha ccm kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !! Hakuna miujiza atakayoileta Paul makonda pale Arusha ambayo gambo haiwezi ama hajaifanya !! Ccm ni ileile ,Kuna kichekesho kingine pale Arusha vita ni kubwa na nikana kwamba gambo ni mbunge wa upinzani na makonda ametumwa kulirudisha Jimbo la Arusha mjini kwenda ccm ' ,kwanini picha Iko hivi, ni kwa sababu ya fitina za Paul makonda ambaye mara zote Kila anapoenda lazima atafute mtu wa kumbagaza ili mambo yake yaende !! Nitawashangaa Wana ccm kama watakubali kuingia kwenye mfumo wa makonda na kumtupa mrisho gambo Ambae Arusha ni mzawa. na kumkumbatia mpita njia kwa sababu ya zile nyama choma au ile festival ya landlover na ama labda mashindano ya pikipiki .Arusha ni ile ile kilichobadilika ni mbwembwe tu na sio maendeleo !! Tunasubiri kuona akili za Wana ccm zilipo .kama ccm inamtaka makonda aende bungeni na kama ccm wanaamini Kuna jambo jipya litatokea kwa makonda kwenda bungeni basi ateuliwe kama mbunge wa kuteuliwa lakini asipewe Jimbo kwa kuumiza aliowakuta !!

Wanawake mtauana kwa ajili ya watu wenu. Sisi wanaume tunawatizama tu.
 
Nawakumbusha ccm kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !!

Hakuna miujiza atakayoileta Paul makonda pale Arusha ambayo gambo haiwezi ama hajaifanya !! Ccm ni ileile ,Kuna kichekesho kingine pale Arusha vita ni kubwa na nikana kwamba gambo ni mbunge wa upinzani na makonda ametumwa kulirudisha Jimbo la Arusha mjini kwenda ccm ' ,kwanini picha Iko hivi, ni kwa sababu ya fitina za Paul makonda ambaye mara zote Kila anapoenda lazima atafute mtu wa kumbagaza ili mambo yake yaende !!

Nitawashangaa Wana ccm kama watakubali kuingia kwenye mfumo wa makonda na kumtupa mrisho gambo Ambae Arusha ni mzawa. na kumkumbatia mpita njia kwa sababu ya zile nyama choma au ile festival ya landlover na ama labda mashindano ya pikipiki .Arusha ni ile ile kilichobadilika ni mbwembwe tu na sio maendeleo !! Tunasubiri kuona akili za Wana ccm zilipo .

kama ccm inamtaka makonda aende bungeni na kama ccm wanaamini Kuna jambo jipya litatokea kwa makonda kwenda bungeni basi ateuliwe kama mbunge wa kuteuliwa lakini asipewe Jimbo kwa kuumiza aliowakuta !!
Hatoboi
 
MAKONDA ANAWATESA SANA AISEE

Afu Makonda akiwa mbunge wewe unateseka na nini mkuu?Pambana kuitoa ccm sio kupambana na mtu mmoja kila siku
Hata wewe hapa inaonyesha unaumia tukiongea hivi kumhusu makonda
 
Mabadiliko ya kibabe ya katiba ya chama, yamefanyika ili watu kama Makonda na Mwijaku wasikatwe panga Wilayani. Mwenyekiti amejipa mamlaka ya kuchagua mwenyewe huko kikeleni. Kwa kifupi wajumbe wameng’olewa meno.
 
Ok hapo umenisanua jambo
 
Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !!

Hakuna miujiza atakayoileta Paul makonda pale Arusha ambayo gambo haiwezi ama hajaifanya !! Ccm ni ileile ,Kuna kichekesho kingine pale Arusha vita ni kubwa na nikana kwamba gambo ni mbunge wa upinzani na makonda ametumwa kulirudisha Jimbo la Arusha mjini kwenda CCM' ,kwanini picha Iko hivi, ni kwa sababu ya fitina za Paul makonda ambaye mara zote Kila anapoenda lazima atafute mtu wa kumbagaza ili mambo yake yaende !!

Nitawashangaa Wana ccm kama watakubali kuingia kwenye mfumo wa makonda na kumtupa mrisho gambo Ambae Arusha ni mzawa. na kumkumbatia mpita njia kwa sababu ya zile nyama choma au ile festival ya landlover na ama labda mashindano ya pikipiki .Arusha ni ile ile kilichobadilika ni mbwembwe tu na sio maendeleo !! Tunasubiri kuona akili za Wana ccm zilipo .

kama ccm inamtaka makonda aende bungeni na kama ccm wanaamini Kuna jambo jipya litatokea kwa makonda kwenda bungeni basi ateuliwe kama mbunge wa kuteuliwa lakini asipewe Jimbo kwa kuumiza aliowakuta !!
Amekutuma? Au ndiyo we mwenyewe. Uamuzi ni wa wapiga kura huna haja ya kuhangaika. Kwa taarifa yako hakuna mtu mfitini mwenye roho ya kimaskini km Gambo ndiyo aliyeua jiji la Arusha Mji wa Arusha ni wa kutokuwa na stand kuu kubwa ya kisasa? Na soko kuu liko wapi? Ni mtu mbinafsi anayeshirikiana na wafanyabiashara wenye maduka makubwa pale maeneo ya soko kuu na stand kuu hawataki stand na soko vihame na kumbuka wengi ni wajomba zake. Sehemu yyte wafanyabiashara wengi wakiwa wachaga lazima pafe, ni wakwepaji wa kodi, magendo mingi, wanapanga bei moja mtaa mzima, ukitaka kujua ushenzi wao kaangalie mji wa Moshi, umedumaa hawataki mtanzania wa kabila lingine. Waarusha ni wajinga na wazembe sana kuruhusu mji wao kutawaliwa na machokoraa ya kichaga. Bora Makonda ni mpambanaji na hana mazoea wala ushirika na hao wahuni wapinga maendeleo
 
Niko na wewe huyu Yahaya hastahili kuwa mbunge Arusha.
Kwa kipindi alicho kuwa Rc Arusha hakuna la maana zaidi ya umbea, fitina na kusababisha vijana kuumia na kufa kwa mashindano ya kijinga.
Na muita Yahaya kwa sababu hajulikani ana ishi wapi.
Hadi muda huu ame shindwa kumpisha mkuu mpya wa mkoa nyumba kwa vile hana mahali pa kuishi.
Leo ana taka jimbo? Arusha Gambo ana tosha
 
Mkuu, mbunge/diwani haleti maendeleo, pitia majukumu ya mbunge kikatiba.

Wabaneni wakurugenzi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na kadhalika.

Wakazieni hao niliowataja hapo juu, maana ndio wenye bajeti, maamuzi na usimamizi.

Otherwise Mkuu you are making unnecessary and misplaced noise in the name of cries for maendeleo!!!
 
Mkuu, mbunge/diwani haleti maendeleo, pitia majukumu ya mbunge kikatiba.

Wabaneni wakurugenzi, mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya na kadhalika.

Wakazieni hao niliowataja hapo juu, maana ndio wenye maamuzi bajeti, maamuzi na usimamizi.

Otherwise Mkuu you are making unnecessary and misplaced noise in the name of cries for maendeleo!!!I

Amekutuma? Au ndiyo we mwenyewe. Uamuzi ni wa wapiga kura huna haja ya kuhangaika. Kwa taarifa yako hakuna mtu mfitini mwenye roho ya kimaskini km Gambo ndiyo aliyeua jiji la Arusha Mji wa Arusha ni wa kutokuwa na stand kuu kubwa ya kisasa? Na soko kuu liko wapi? Ni mtu mbinafsi anayeshirikiana na wafanyabiashara wenye maduka makubwa pale maeneo ya soko kuu na stand kuu hawataki stand na soko vihame na kumbuka wengi ni wajomba zake. Sehemu yyte wafanyabiashara wengi wakiwa wachaga lazima pafe, ni wakwepaji wa kodi, magendo mingi, wanapanga bei moja mtaa mzima, ukitaka kujua ushenzi wao kaangalie mji wa Moshi, umedumaa hawataki mtanzania wa kabila lingine. Waarusha ni wajinga na wazembe sana kuruhusu mji wao kutawaliwa na machokoraa ya kichaga. Bora Makonda ni mpambanaji na hana mazoea wala ushirika na hao wahuni wapinga maendeleo
Daah povu kubwa sana hili sawa bwana mkubwa
 
Mkuu, mbunge/diwani haleti maendeleo, pitia majukumu ya mbunge kikatiba.

Wabaneni wakurugenzi, mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya na kadhalika.

Wakazieni hao niliowataja hapo juu, maana ndio wenye maamuzi bajeti, maamuzi na usimamizi.

Otherwise Mkuu you are making unnecessary and misplaced noise in the name of cries for maendeleo!!!
Au sio
 
Niko na wewe huyu Yahaya hastahili kuwa mbunge Arusha.
Kwa kipindi alicho kuwa Rc Arusha hakuna la maana zaidi ya umbea, fitina na kusababisha vijana kuumia na kufa kwa mashindano ya kijinga.
Na muita Yahaya kwa sababu hajulikani ana ishi wapi.
Hadi muda huu ame shindwa kumpisha mkuu mpya wa mkoa nyumba kwa vile hana mahali pa kuishi.
Leo ana taka jimbo? Arusha Gambo ana tosha
Maneno kuntu kabisa haya
 
Back
Top Bottom