Mrembo wa kibongo adhalilishwa

Kadhalilishwaje???? Au alipoanika bidhaa take???
 
hajadhalilishwa, may be kajidhalilisha - lakini kumbuka kuwa biashara matangazo!
 
Wasichana siku hizi hawapendi kuvaa makufuli.
 
Kivipi Yo Yo mbona hueleweki????!!!!!funguka mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna udhalilishaji hapo. Kama upo, basi ni yeye mwenyewe kaamua kujidhalilisha.
 
Kwa asili ya maumbile ya kike bila kuvaa chupi ni uchafu na nilikuwa siamini kama kuna mwanamke anaweza tembea bila chupi lakini nimeshaona wengi tu.
 
ngoja na mimi nianze kwenda NYUMBANI LOUNGE kumbe huwa kunakuwa na warembo wanaojidhalilisha hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…