Tatizo la bedwetting ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyoweza kufikiria humu MMU na sababu huwa ni nyingi,nyingine ni za kisaikolojia na nyingine ni za maumbile. Mwambie jamaa atafute ushauri wa wataalam,na kikubwa kuliko vyote hapa ajitahidi asimudhalilishe kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu.