Mrembo huyu yu wapi?

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
Wadau kuna mrembo humu aliye julikana kama Ciello,ambaye alikuwa pia miss wetu wa CC mwezi November mwaka jana.
Nashangaa simuoni kabisa,na HATA UKIM TAG(MENTION) Jina lake halitokei!!
Yu wapi mdada huyu,kwani nilikuwa nikizimikia sana michango yake!
Au MODS wameondoa Id yake?
Mwenye taarifa atujuze.
 
Last edited by a moderator:
Kama hata kum mention haiwezekani,basi huyo hatunaye tena!
 
Yupo humu humu , na kila siku tunae ila I D mwingine. Hawa ndio wanajidai kupotea au kuaga, alafu analudi na ID mwingine
 
Yupo humu humu , na kila siku tunae ila I D mwingine. Hawa ndio wanajidai kupotea au kuaga, alafu analudi na ID mwingine

Lakini hata we manoah si uliaga wewe na ukaomba life ban?
 
Last edited by a moderator:
nahisi amemtuana au amemharass mtu akapewa infractions ndio huwa hata ukilogn id haipo kabisa hata ukimquote haitokei nafikiri wanai hide kabisaaaa.na ndio kilichompata ilaisha tu itakuwa ni siku chache tu let wait and see au tuandamane? nimemiss sana hata mimi Ciello huoni chit -chat kumepoa ndio gwiji la huko au tumuulize shost wake lara 1 yuko wapi ciello?
 
Last edited by a moderator:

yupo rikizo kama vp PM kamana!
 
Ciello where are you?
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaaaaaaaaaa! SI ALITANGAZA KUSTAAFU DEC ILE!!!!!!!!! Ndo kafanya kweli!
 
Haaahaaaaaaaaaaa! SI ALITANGAZA KUSTAAFU DEC ILE!!!!!!!!! Ndo kafanya kweli!

Unajua best, siku umeandika katika ile post niliamini, then mtani wangu yule akakanusha lakini sasa naona kapotea kweli...
I have a reason to say, namkumbuka sana mtani wangu for shizzle!!
 
Atakuwepo WHITE PARTY!!!!!! Mi nawasiliana nae in Real Life ndo ulipie sasa sio kung'aa sharubu tu!

Dah,for her sake nitalipia aisee!
Ila lara 1,mwambie atutambulishe Id yake nyingine anayo itumia kwa sasa!
 
Last edited by a moderator:
Dah,for her sake nitalipia aisee!
Ila lara 1,mwambie atutambulishe Id yake nyingine anayo itumia kwa sasa!

Mwenyewe kama yupo akiona umhimu wako kwake atakupa hiyo ID! Mi alivoniaga ni kuwa anaangalia upande mwengine ili maisha yaendelee huko! Sasa kama ana ID mpya mimi isjui maana sijaipewa!

Ila kwenye Party Guaranteed ndani ya jumba!
 
Wanna see u on white's bikini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…