Mrembo chalii...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481

Hapa mrembo alamba mweleka wakati wa maonyesho ya mivao!
 
Tatizo lao hawali vizuri...nasikia huwa wanatumiwa na ma-designer kama tissue, the slimmer - the younger, the better! Hvyo vitu vkchange tu umefukuzwa kazi ....
 
Isije kuwa alifanya kusudi ili kutangaza 'biashara' fulani fulani!!
 
Ingekuwa bongo tungesema karogwa. Lakini nawenyewe wamezidi ona alivyo utafikili anakula sabuni
 
bora nguo ilikuwa ndefu maana wengi wao siku hizi hawavai ile ya ndani..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…