Hahahahahaaaaaa aiseeee ni baraaaa
Hahahahahaaaaaa aiseeee ni baraaaa
Kutoka Full Coverage hadi Error in Connection lol si mchezo! manoah nahisi alikupeleka kwenye Avatal yake (Makaburini) Kule hakunaga network
Hayo ya manoah achana nayo kwangu mi ni b52 yan ni kombora la kimataifa...usiwaze makaburi njoo upate raha mtoto mzuri!Ila nilimsamehe bure, wala sikumbuki tena kama mtoko ulikuwa kavu kavu
Hayo ya manoah achana nayo kwangu mi ni b52 yan ni kombora la kimataifa...usiwaze makaburi njoo upate raha mtoto mzuri!
Come bby come uone malavidavi katika mwanga bora
Yan we beba hadi hausi geli wako mi sina shida na ukikutana na class mate wako pia beba ambatana nao!Ila mimi siku tukitoka lazima niambatane na shosti zangu kama 7 hivi, kwa sasa hivi sitawataja nikiwataja utaniogopa bure....
Yan we beba hadi hausi geli wako mi sina shida na ukikutana na class mate wako pia beba ambatana nao!
Hivi Mrembo by Nature ule mpango wetu wa kuungana umeishia wapi mama?
Subiri kidogo mpendwa wangu...tutajua tu huyu kijana kakutwa na ugonjwa gani...
Umehamia na huku...toba yarabiii!!!
sasa jamani manoah si atajinyonga bure?. Mimi nilinyamazia ili aendelee kujipa matumaini. siku zote ukitaka kugombana na mtoto acha akuanze kukuchokoza, akikuchokoza unachuma fimbo unamchapa halafu unamwambia akalale. miaTumepishana mimi niko kwa figganigga
Nilikuwa nakula ice cream tu, wala hakuna chochote kibaya tumefanya....nawe mhhh
Hivi Mrembo by Nature ule mpango wetu wa kuungana umeishia wapi mama?
hahaa wakati wengine wakijiuliza Mrembo by Nature atawwacha lini na,
wengine wanajiuliza wataungana nae lini....,