Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
sikuwepo! history @ work
Hivi Mrembo by Nature ule mpango wetu wa kuungana umeishia wapi mama?
Hivi Mrembo by Nature ule mpango wetu wa kuungana umeishia wapi mama?
ule mpango wetu upo pale pale haujavunjika, na ivi sasa nipo njiani
Tumepishana mimi niko kwa figganigga
atajinyonga huyu manoah..afu Mrembo by Nature, sikiliza ushauri wangu tokea juzi, temana na huyu manoah!
Ninachotaka ni muungano hayo mambo ya vyama tutayamaliza ndani tukiwa wenyeweKuunganisha chama pinzani na tawala ama? hahahah
Ninachotaka ni muungano hayo mambo ya vyama tutayamaliza ndani tukiwa wenyewe
Sawa eeeh
Hizo sekta kwangu sio ishu we miliki kila kitu ila mi nimilikishie kifanyio tu baaasi!Tutaungana ila sector muhimu zoote nitasimamia mimi....mf. ATM card yako na account yako ya bank, hati zote za nyumba na mashamba zitakuwa chini ya himaya yangu
Erickb52 usije kuwa kama manoah juzi amenitoa out na makeke kibao, oohh live coverage tunafika huko hatamaji ya KLM yale madogo alishindwa kununua....kama huniamini muulize mwenyeweHizo sekta kwangu sio ishu we miliki kila kitu ila mi nimilikishie kifanyio tu baaasi!
Copy kwa The secretary