Wazee wale tuwasamehe!wanaganga njaa!hii movement ya sasa tena wakisikia itakua tz nzima wana ccm wanakosa usingizi kabisa!kwa sasa inatafutwa njia ya kuzuia maandamano bahati nzuri maandamano ni ya wananchi kwa ajili ya kudai haki za msingi ktk nchi yetu!hayana vurugu bali roho zinawasuta hao watawala miaka 50 nchi haina muelekeo wa ajira,elimu,afya,miundombinu,kilimo,masoko ya mazao,huduma mbovu ktk sekta ya umma haswa ardhi,polisi,mahakama.hembu fikiri makinda eti anasema mitihani ya mchujo form 4 irudiwe hiyo ni akili au?wenye migodi watoe umeme 50mw wawape tanesco huku ni kutuona hatuna akili rais mpaka leo anawaza mitambo ya kukodi