justo james
Member
- Apr 29, 2011
- 7
- 0
Cheo cha naibu meya wakupokezana nasikia kipo kwenye katibahicho cheo cha naibu waziri mkuu hata kwenye katiba hakipo
umetoa kauli mbaya sana mkuu,humu jf wa2 2napondana bt hakuna anae mponda mwenzie kama wewe ulivofanya,kifo kipo ndio lakn co kumzungumia mwenzio hvo bana.Hizo ni dalili za mtu anapokaribia kufa. Mrema yuko karibu kabisa na kaburi, kimwili na kimawazo.Natoa wito kwa wanachama wa tlp tz nzima wajiondoe kutoka ktk chama hicho na kumwacha mrema pekee. Msipo utii wito wangu, basi ninyi nyote si wapiganaji bali ni waganga njaa. Endeleeni.
Anataka mafao kama naibu waziri mkuu mstaafu,jamaa kachizika
Hua napenda kuangalia Prime ministers question bunge la uingereza. Liko entertaining cos ni utani mtupu japo hoja hutolewa. Wabunge wetu wanaboa na hoja zao za kukopy and paste. Mrema knows how to entertain and get you Shmucks to talk bout him and the papers to write about him. Chadema hampendi lakini Hutu kweli ni mwanasiasa