real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ,Augustine Mrema leo ameripoti rasmi tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii katika kituo cha polisi cha OysterBay kilichopo jijini Dar es salaam .
Mh Mrema amesema taarifa hizo zilizushwa na kutengenezwa na baadhi ya wapinzani wanzake wasiomtakia mema Mh Rais Magufuli kwa lengo la kuwafanya watanzania wasisikilize mazungumzo kati ya Mh Rais Magufuli na waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowasa badala yake wajadili kifo cha chake kitu ambacho si sahihi