Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

Mrema azeeka vibaya kwani kama ndugu wakikaa pamoja wakielewana yeye kinachomwumiza ni nini ebu naatulie zake hana jipya tena na hata busara na hekima zinamtoka sasa.
Ila Kingunge anazeeka vizuri!!!!!! Mmelewa na harufu za ush.uzi wa strauberi.
 
na hicho ndo ninachokiona hakuna aliyetayari kuwabembeleza ili tuone lengo lao ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…