mzee anajipendekeza mpaka anatia kinyaaaView attachment 386824Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.
Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.
Chanzo 😀ar24
Vijana wa mjini wanasema "Ameiva"Hivi huyu Mzee ni muhindi au mwarabu? aliyewahi kumwona kwa ukaribu anisaidie.
Inabidi TFDA waongeze umakini...hiz kosmtks hapana kabisa.Vijana wa mjini wanasema "Ameiva"
Wewe wasema.Atakua ni kanga maana anamadoti doti kibao... Na anakuka njaa balaa.
MREMA NI AMESHAKUFA KISIASA!View attachment 386824
Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.
Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.
Chanzo 😀ar24
Hivi huyu Mzee ni muhindi au mwarabu? aliyewahi kumwona kwa ukaribu anisaidie.