Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli

Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli

Hivi nani mnafiki kati ya Mrema na Mamvi ? anayestahili heshima apewe heshima.
 
Mrema kasema ukweli, mapenzi ya vyama yakae pembeni wakati wa kuchagua kiongozi
 
Mwenzie Mbatia ilikuwa bahati mwisho wa siku akaonekana mwiba,

Imekula kwake huyu mzee
 
Siasa za kiafrika wakati mwingine ukifikria kwa makini zimejaa unafiki wa hali ya juu sana!!
 
ulitaka AMNADI MGONJWA wenu nini?

Tumia lugha nzuri kijana, wale wote waliokuwa wanaimba ‘Mgonjwa’ washatangulia mbele za yake na yeye bado anadunda - usimtakie adui yako maovu (Matthew 5:44-45)- says love your enemy! Kwani kesho anaweza kuwa wa msaada kwako au watoto wako au wajukuu zako!!!!fuata tabia za Mwl Nyerere baba wa Taifa la Tanzania!
 
Ninachoshangaa ni kwanini wao wanadhani sisi hatuna nia njema na nchi tunapomchagua mtu tofauti na Magufuli? Wanadai alishinda uchaguzi 2015, sasa hivi 2020 wanaogopa nini? Kwani nani anawatisha hadi watafute kuungwa mkono kwa magufuli? Wanasema ndiye mzalendo wa kweli ni mchapa kazi, na kaleta maendeleo. Yoote hayo bado wanaonekana waoga mpaka wanatafuta nasisi tumuunge mkono?! Hao hao wanatuambia Magufuli hana mpinzani 2020 sasa huu uoga unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom