Fanya kazi utaona hela zinapokwenda.Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Nikikumbuka nasikitika sana akija mrema msafara wote wa magari mafuta ni mzee wangu anakuja dukani anakusanya zote.Wewe ndio umeongea point sasa,this could be a reason
Alikuwa anafungua kwa menoNa kile kisukari alikua anafunguaje zipu?
DahNikikumbuka nasikitika sana akija mrema msafara wote wa magari mafuta ni mzee wangu anakuja dukani anakusanya zote.
Utaachaje kupenda warembo? Hata warembo watakushangaa...jamani nyie vitumbua ni vitamu hatari kabisa[emoji1787][emoji1787]Mwanaume usipopenda totizi sasaa utapenda nini?
Sifa ya kwanza ya mwanaume uwe na hela usiwe na hela ni kupenda wanawake. Wanawake ni zawadi ya asili ya mwanaume.
Kama Mzee Mrema alikua anapenda totozi nampongeza sana.
Sio wote wanapenda maisha ya kuish kwenye mahekalu.😀Pesa gani unawekeza toka ujana mpaka unafika Miaka 70's hujajenga pazuri ? ,Uwekezaji una kikomo
Once a spy always spieMarehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Yule mrembo ni afisa kipenyo wa kumtunza mzee uzeeniYule mrembo Kavuta hela zote....au Tuseme altihonga zote?
Matola,huyu mzee kafundisha shule kadhaa moshi ,mpaka alikuwa mratibu wa elimu kata,baadae ndio akaenda kufundisha vyuo vyaoKama kitu hujui usiandike, alizuga vipi kuwa Mwalimu wakati ni kweli Mwalimu? Au unadhani hiyo idara haina walimu wa kuwafundisha intake zao?
Duuh huu uzao unaweza kupotea angesimamia kucha azae sana huenda atabahatisha kijanaYupo kuna jamaa ana shamba zaidi ya heka 10, nusu analima, nusu msitu mpaka mgambo na wanajeshi wanafanyia mazoezi huko.
Babu alikuwa mtoto wa kiume pekee
Baba alikuwa mtoto wa kiume pekee
Mtoto ni mtoto wa kiume pekee. Amerithi shamba lote hilo. Na yeye amezaa watoto wote wa kike.
Tutashangaa kama ulishika hela kweli na hatuoni ulichofanya,ila kama hukushika wala hatutashangaaSass mkuu unashangaa hiyo Mrema, nikiwatoka mimi leo si ndio mtasema hapa duniani nilikuwa nafanya nini, hivyo alivyokuwa anamiliki vinamtosha, wacha apumzike.
Ungeleta taarifa kamili ya alivyokuwa akimiliki. Na jumla ya fedha zote alizopata au alizopaswa kupata kwa kila nafasi alizotumikia.Nafahamu kidogo tu,shamba moshi vijijini,nyumba kiraracha na sinza
Najua pale kwako umegeuza yard ya magari,ukifa na wewe tutakupiga majungu tu kuwa uliendekeza magari kuliko nyumba😄😄Wabongo mna shida sana.
Yupo kuna jamaa ana shamba zaidi ya heka 10, nusu analima, nusu msitu mpaka mgambo na wanajeshi wanafanyia mazoezi huko.
Babu alikuwa mtoto wa kiume pekee
Baba alikuwa mtoto wa kiume pekee
Mtoto ni mtoto wa kiume pekee. Amerithi shamba lote hilo. Na yeye amezaa watoto wote wa kike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna hata mnyonge! alijitahidi sana huyo mzee mungu awe naye milele na milele bwana ametoa na bwana ametwaa jina labwana libarikiwe aminaAliwekeza kwenye familia hasa kwenye upande wa elimu mitaji na miradi...katika familia yake hata ndugu wa karibu hakuna mnyonge hata mmoja.. Hiyo ndio turufu aliyoondoka nayo
Kumpigia hesabu ya kila senti huo utakuwa umbea,tunajua mafao ya mbunge,maslahi ya waziri na mshahara wa afisa kipenyoUngeleta taarifa kamili ya alivyokuwa akimiliki. Na jumla ya fedha zote alizopata au alizopaswa kupata kwa kila nafasi alizotumikia.
Hii ingesaidia wenye nia ya kujadili wajadili.
Tofauti na hapo hizi ni story za kule twitter kwa vijana wa ovyo