Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,297
- 111,382
Kama kitu hujui usiandike, alizuga vipi kuwa Mwalimu wakati ni kweli Mwalimu? Au unadhani hiyo idara haina walimu wa kuwafundisha intake zao?Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Kiraracha unapajua weweNyerere njoo msasani uone mji wake,hekari nne kiwanja,nyerere hakuwa masikini,nyumba yake ya magomeni alijenga kabla ya uhuru imegeuzwa makumbusho ila nyumba kali sana ile
Kabisaa kama mengiNdio matumizi sahihi ya pesa. Ukiacha mijengo na mihela ndugu watauana tuu
We jamaa🤣Kwani kisukari kimemuanza utotoni?
Yule mzee alizidiMzee Mchonga ilibidi ajengewe nyumba na JKT alipostaafu Urais baada ya kukaa madarakani miaka 23.
Barabara ya Lami kutokea Kiabakari mpaka Butiama ilijengwa immediatey baada ya kifo chake ili kuficha aibu toka kwa wageni watakaohudhuria mazishi huko kijijini.
Hivyo kuna watu walikuwa wazalendo na wajamaa kweli kweli akiwemo Mrema.
Alikuwa anasomesha watoto na nduguHela zao za mishahara wanapelekaga wapi
SureWaajiriwa wengi hawana uwezo wa kuishi nje ya mshahara hata wakilipwa bilioni moja baada ya kustaafu wape miaka 3 utawakuta wanaomba hadi buku.
Ile vibe ya 1995 ilikuwa hatari sana,tulikaa tunasubiri aapishwe tukaambiwa amekuwa wa tatu nyuma ya mkapa na lipumbaNenda mrema nenda!!
Mwaka 1995 nilisimamishwa shule kisa nilipeperusha bendera ya NCCR-MAGEUZI.kwenye eneo la shule!
Huyu jamaa kama alikosa urais 1995,sijui kama Kuna siku mpinzani atakuja kitawala inchi hii
😀Pesa gani unawekeza toka ujana mpaka unafika Miaka 70's hujajenga pazuri ? ,Uwekezaji una kikomoLabda pesa zake kuna mahala kawekeza.
Ile nyumba haina hadhi ya naibu waziri mkuu mstaafu
Wewe ndio umeongea point sasa,this could be a reasonNaweza kusema kwamba wakati wa nssr mzee wangu akiwa mwenyekiti wa mkoa nssr alitumia pesa nyingi sana kukilea chama na uongozi hawakuupata akaishia kufirisika na biashara ya vioo,
hata mrema nae alitumia pesa zake nyingi sana
Unapajua msasani au unapasikiaYa Nyerere ina hadhi?
Usikute hela yake alikuwa anafugia majiniMarehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze