Nafahamu kidogo tu,shamba moshi vijijini,nyumba kiraracha na sinzakwa watu fulani kila mpinzani ni 'afisa kipenyo', isipokuwa mwenyekiti wao tu, Mwamba!. Yeye hata atoe wangapi kwenda kukitumikia chama tawala hata husikii kusemwa ni 'afisa kipenyo'!
Hilo moja, pili, kwani unafahamu chochote kuhusu anavyomiliki?!!!!
Aliwekeza kwenye familia hasa kwenye upande wa elimu mitaji na miradi...katika familia yake hata ndugu wa karibu hakuna mnyonge hata mmoja.. Hiyo ndio turufu aliyoondoka nayoMarehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya sinza kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Na kile kisukari alikua anafunguaje zipu?Marehemu alikuwa anapenda sana kufungua zipu. Mungu amlaze anapostahili.
Kuhusu mrema kuwa afisa kipenyo sii jambo la kificho kila mtu anajua angalia hata CV yake mtandaonikwa watu fulani kila mpinzani ni 'afisa kipenyo', isipokuwa mwenyekiti wao tu, Mwamba!. Yeye hata atoe wangapi kwenda kukitumikia chama tawala hata husikii kusemwa ni 'afisa kipenyo'!
Hilo moja, pili, kwani unafahamu chochote kuhusu anavyomiliki?!!!!
Hela zao za mishahara wanapelekaga wapiAlikuwa mjamaa. Wajamaa wanatabia za kutokupenda mambo makubwa.
Ile ya sinza alihamia alipofukuzwa masaki 1994 au 1995Nyumbani kwake ni Salasala
Ile nyumba ya Sinza alinunuliwa na chama chake TLP
Walimtimua pale nyumba ya serikali
Ile nyumba haina hadhi ya naibu waziri mkuu mstaafuAna nyumba kali sana kule Mbezi Beach kuelekea Salasala.
Aliondoka na. begi la nguo tu nyumba ya serikali