Mrema aitolea uvivu CHADEMA

i said it once and i will say it again..mrema is dead and buried..

Mrema hovyo sana, anafanya mambo ya ajabu sana!

Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.

Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?

FF angalia bunge sasa hivi linaendelea...wabunge wa ccm, hata wa viti maalum maria hewa na yule wa wafanyakazi kariuki angel wanaongoza KUTOKUUNGA MKONO BAJETI ISIYO NA DIRA WA MWELEKEO....
Inasikitisha sana FF na Mrema mnazungumza na kufikiria kupitia tumbo mpaka leo karne ya 21...kamoon mmetokea sayari gani inayotoa watu wa aina hii

mix with yours

Jamani huyu Mrema si alisomewa itqaf wakati ule ili aokote makopo, sasa mnashangaa nini , itqaf imejibu.

Mwambieni akajaribu huko kusini kuna kitoto kimempindua babu wa loliondo, kinatoa vikombe kama hakina akili nzuri labda Lyatonga anaweza kuponea huko vinginvo RIP.

Jamani huyu Mrema si alisomewa itqaf wakati ule ili aokote makopo, sasa mnashangaa nini , itqaf imejibu.

hii pia mpya kuisikia....nani hao walifanya hayo wakati police anasema ni nabii anayeheshimika mpaka sauzi ....nabii tena anasomewa hayo lol.....

mix with yours

Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.

Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?

Tafuta tende ule.
Saumu na UNAFIKI ni
Maji na mafuta.

wachangiaji wengi mna fikra mfu, mrema ni mtu huru na anauhuru wakuamua na kufanya kile anachokitaka na kukiamini. si lazima awafurahishe nyinyi. wanavunjo walimuamini na wakampa ubunge katika kinyang'anyiro kilichowahusisha CCM na chadema. sasa kelele zote za nini. You pipo be Realistic. do not be stupidy.

jimbo la vunjo alipewa zawadi na ccm kwa kucheza ndombolo kwenye mkutano wao wa nec,..walilichakachua kwa niaba yake...

kuwa mtu huru ndio tiketi ya kuwa MAMLUKI hata kwa chama chake kwanini alimuunga mkono JK kwenye uchaguzi mkuu ilhali chama chake ambacho yy ni mwenyekiti kilikuwa na mgombea urais, ww kama unaona Mrema yupo timamu basi utakuwa unamatatzo makubwa kuliko huyo Mrema nasema haya nikiwa neutral sifungamani na upande wowote kisiasa.

jimbo la vunjo alipewa zawadi na ccm kwa kucheza ndombolo kwenye mkutano wao wa nec,..walilichakachua kwa niaba yake...

Kuna haja ya CHADEMA kuweka mgombea makini na anayekubalika 2015,tukiweka mgombea serious hata iweje 2015 ni lazima jimbo hilo lichukuliwe na CHADEMA.Mrema(Lyatonga) nilikuwa namheshimu lakini nashukuru Mungu alishindwa Urais 1995 otherwise hali yetu ingekuwa worse kuliko sasa

jamani mrema mwacheni sio akili yake, katika kumbukumbu zangu Mrema aliugua ghafla akaenda kutibiwa KCMC akapigwa kisindano akazirai, alipoamuka akaidai CCM million mia tisa, hapo ndipo mtu wetu tuliyeamuamini alipopoteza fahamu ya kujua upinzani ni nini na kuamua kurudi CCM B na kwa kuwa aliapa kutorudi CCM mbele ya Mwinyi aliogopa kivuli chake , sasa amepewa ka ubunge kama zawadi ili asipewe mafao yake ya umamaruki na unaibu waziri mkuu.

Anachokataa ni nini? Hayo anayoyasema yanathihirisha wazi kuwa ni kibaraka wa CCM. Ndio maana anarudishiwa fadhila na Rais wake kwa kila anachoomba kufanyiwa huko Vunjo. Shame!! Huyu sio yule Mrema niliykuwa namfahamu.

Nilitegemea watu tujadili mada na siyo kumshambulia mtoa mada..
Ushabiki bwana!!!! Kaz kwel kwel....

Huyu jamaa angekuwa mwanamke kila mtoto angekuwa ana baba yake. Etianaisapoti chichim kachababu wamechika dola yeye ni matahaira hayaishi kisi cha mae

1. Fikra mfu kwa sababu ya kumpinga Mrema?
2. Uhuru, fikra na maamuzi yake ndo yamefanya comments hizi zitoke.
3. Hivi kinyume cha 'stupidy' ndo realistic?

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…