Mrema Afunguka Baada ya kufunga Ndoa na Mke wake Wana nionea Wivu tu

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha TLP, Augostino Mrema, amesema anamshukru Mungu kwa sherehe ya ndoa yao kwenda vizuri na kwamba wanaoendelea kueneza uzushi na upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii wanapoteza muda wao.

Akizungumza alisema anamshukru Mungu kwasababu taratibu zote za ndoa zilifuatwa hivyo mke wake Doreen Kimbi hajamuoa kinyemela.

Mrema alisema ndoa yake awali nilikuwa ifanyike Machi 8 mwaka huu lakini waliamua kuisogeza mbele hadi Machi 24 ili kutoa fursa kama kulikuwa na mtu ambaye angejitokeza kuweka pingamizi ndoa isiweze kufungwa.

" Ndoa imetangazwa kanisani mara tatu na hakuna mtu yeyote aliyejiyokeza kusema Doreen alikuwa mke wangu kwa hiyo uvumi wa mitandaoni hauna maana yeyote na wanaofanya hivyo wanadhani watavuruga ndoa yetu kumbe wanapoteza muda wao bure," alisema Mrema.

Alisema hadi kufikia Machi 23, mwaka huu ikiwa ni siku moja kabla ya kufungwa kwa ndoa hiyo hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kutoa pingamizi hivyo wanaoeneza uvumi mbalimbali kwenye mitandao wanapoteza muda wao ndoa imeshafungwa na hivyo suala hill limeshapita.

Mrema alisema uvumi wa mambo yote hayo unatokana na kwamba watu hawajazoea mtu akipendwa kwa dhati na mtu mwingine,watu wamezoea rushwa wanahonga watu,wananunua watu,kwa hiyo wanafikiri kila mtu ananunulika.

Alisema mara baada ya mke wake kufariki Septemba mwaka jana, alimuacha katika mazingira magumu sana hivyo alimuomba Mungu amsaidie ili apate msaidizi mwingine.

"Mke wangu alipofariki aliniacha katika mazingira magumu sana afya ilikuwa imedorora hata hotuba yangu wakati wa kumzika sikuweza kusimama, nilimuomba Mungu na mke wangu atakapokuwa anisaidie nipate mtu atakayenitunza, atakayeniangalia," alisema.

Aliongeza kuwa kutokana na maombi yake hayo baraka za mwenyezi Mungu zilikuja na ndipo akajitokeza huyo binti (Doreen) akakubali kutumia maisha yake kwa ajili ya kunitunza.
IMG-20220325-WA0027.jpg
 
Hivi anaipiga kisawa sawa kweli au..mana kusimama tu alishindwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mzee utakufa kuna umri wa kuoa na kuna umri wa kuishi pekee yako Ili uwe salama
 
Kama angekuwa mzee wa kawaida mwenye pensheni ndogo huyu binti angekubali kuolewa nae? Hawa mabinti hukubali kuolewa na wazee wenye hela wanajua wakifa watafaidi urithi mnono
 
Ni kosa kubwa mwanaume kudhani mwanamke anaweza kukupa faraja.

Ukifika umri ambao ukikojoa basi mboo inalowa mikojo basi tulia tu ule maisha.
 
"Mke wangu alipofariki aliniacha katika mazingira magumu sana afya ilikuwa imedorora hata hotuba yangu wakati wa kumzika sikuweza kusimama, nilimuomba Mungu na mke wangu atakapokuwa anisaidie nipate mtu atakayenitunza, atakayeniangalia," alisema.

Aliongeza kuwa kutokana na maombi yake hayo baraka za mwenyezi Mungu zilikuja na ndipo akajitokeza huyo binti (Doreen) akakubali kutumia maisha yake kwa ajili ya kunitunza.
Inamaana hamjamuelewa au basi tu kuchangia kwa kejeli?
 
Kuna mtu yoyote aliyepotelewa na mbebez, maana hili tangazo limekaa wiki tatu.......zaidi ya hapo ni maneno ya mkosaji tu dhidi bwana Lyatonga.
 
Hivi anaipiga kisawa sawa kweli au..mana kusimama tu alishindwa.

#MaendeleoHayanaChama
Muwe mnatumia busara, hivi mnaamini kwamba mzee Mrema ameoa ili aendelee kuzaa? Kaoa ili apate msaidizi, maana umri umeenda sana, anahitaji mtu wa karibu wa kumuangalia, hilo la Kushiriki kimwili ni siri yao, kama watatumia njia mbadala za kuridhishana hayo ni mambo yao binafsi, hayatuhusu!
 
Back
Top Bottom