Mrejesho: Wanaume tuna kazi tena nzito

Mrejesho: Wanaume tuna kazi tena nzito

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
wasalaaam!

Baada ya Kupata Mawazo toka kwa Kaka/dada zangu nimeyafanyia Kazi lakini Nimekuja Kugundua haya Machache toka kwa Huyu Bi dada!

1. Ni Mlokole (tena from the Root of her Family).

2. Hapendi kufokewa/kusemwa ukimsema tu!! Anazima simu hata Siku Nzima.

3. Ukimwita Mahali hata Kupiga Story Basi atapiga Chenga au Anazima simu.

Sasa wandugu hii hali mimi inaniumiza sana huyu Binti mimi nampenda sanaaa tena sanaaa Ni Material kweli sio Famba!

"ANANIZINGUA MPAKA NATAMANI KUMWAMBIA MAMA"
 
we si ulisema tayari ushamuacha?? BTW... me sijaelewa vizuri the remedy sought: unatuhabarisha tu kuhusu hizo affairs zenu? ama unataka ushauri wa jinsi ya kumhandle uyo binti?
 
we si ulisema tayari ushamuacha?? BTW... me sijaelewa vizuri the remedy sought: unatuhabarisha tu kuhusu hizo affairs zenu? ama unataka ushauri wa jinsi ya kumhandle uyo binti?

mkuu umenukuu vibaya Sijamwacha Abadani! ila napambana Nipate kumweka Sawaaa.... natumia Muda mwingi sana kumweleza awe mtu wa aina gani ila Ndo hivyooo Tena Kama Napiga zeze kwenye Banda la Ngamia...
 
Mungu alimpa mwanaume vichwa vi2, bahati mbaya vyote haviwezi kufanya kazi kwa wakati m1.

Kwa hii thread naona ni kile kichwa kingine ndio kipo kazini.
 
tumia heading yako ya mara ya kwanza andika mrejesho
 
mkuu umenukuu vibaya Sijamwacha Abadani! ila napambana Nipate kumweka Sawaaa.... natumia Muda mwingi sana kumweleza awe mtu wa aina gani ila Ndo hivyooo Tena Kama Napiga zeze kwenye Banda la Ngamia...

okay mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom