MREJESHO: Wana Jf mlioko Dar nipokeeni nakuja huko kwa matibabu

Pole mkuu utapona ishi kwa matumaini usiwe na khali ya kujihisi mgonjwa iyo inachangia kwa kiasi kikubwa kudhoofika
 
Mkuu hiyo avitar, itakuongezea maumivu, ila pole mm nakuombea. Nitafurahi sana ukiitoa, sio nzuri kwa afya yako
 
Back
Top Bottom