kamati yamaamuzi magumuu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 227
- 263
Kuna uzi mmoja niliuanzisha muda kidogo, ukiuhitaji nitakuelekeza namna ya kuupata.
Acha niende moja kwa moja kwenye point! Nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za hospital mpaka zile za bei kali ila sikufanikiwa kupona, but nilijaribu kuuliza baadhi ya watu wanaonizunguka katika jamii yangu ikiwemo wana JF.
Kuna mtu mmoja alinielekeza tiba japo niliidharau sana ila kwa sasa nimetumia yapata siku kumi na nne (wiki 2) alhamdullilah matokeo nimeyapenda aisee.
Now najisikia niko njema kwa asilimia 90%. Dawa yenyewe ni karafuu pamoja na maji
Matumizi:
Karafuu vijiko vya chai vidogo vitatu unavichanganya na maji lita 1. Chemsha ndani ya nusu saa hadi dakika 45, hakikisha karafuu imejimix vizuri kwenye hayo maji. Hakikisha hayo maji lita moja unayatumia kwa siku moja tu na kesho pia unaendea na mchakato huo huo maji lita moja na karafuu vijiko vitatu unachemsha.
Naimani matokeo utayapenda
Pia kuna side effects kadhaa baada ya kuwa umetumia mchanganyiko huo wa karafuu kama yafuatayo:
- Kuharisha kwa siku za mwanzoni
- Kuunguruma kwa tumbo
- Kwa wanaume inafanya uchelewe sana kutoa bao la kwanza (unaweza delay zaidi ya dakika10)
- Kukojoa mara kwa mara
Asanteni.