Mrejesho wa selection za vyuo.

skilled masala

Senior Member
Joined
May 2, 2019
Posts
117
Reaction score
160
Habari wana jf hapo nyuma kabla ya kuanza maombi ya vyuo niliomba ushauri kuhusu course gani ni nzuri kusoma kati ya journalism na Human resource nimepata Human resource Mwalimu nyerere (MNMA) na Journalism University of iringa je ni wapi naweza kupata elimu iliyo thabiti though course ni tofauti. University of Iringa upande wa journalism wapo vizuri?, mwalimu nyerere HR wapo vipi nao? Mwenye kujua anisaidie bado nafikiria niconfirm wapi.

Natanguliza shukurani🙏
 
HR
 
Kwani malengo yako ni kuwa nani professionally?? Lazima kijana uwe na malengo unataka kuwa nani!
 
Hauna wazazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…