Mrejesho wa Interview TPA

Mrejesho wa Interview TPA

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
223
Kwanza kabisa shukrani kwa wale wote waliyotoa mawazo na michango mbalimbali.

Terminology zilizokuwa kwa paper hazikuwa ngumu sana kwa maana ya watu waliyosoma mambo ya bandari from the Scratch watakuwa wametusua.

Research haikuwepo kabisa.

Lakini pia sifa na utukufu na Heshima kwa Mungu kwani mipango yake kwetu siyo ya ubaya bali kutupa amani, na mimi hakika Amani ninayo.
 
Back
Top Bottom