Folen kaka... US na Canada foleni ni kubwa mnoooo... Processing inakuwa kazi sana ndio maana unakuta zinachelewa... Pia kupata apointment ni ishu sababu ya uwingi wa watu wanaofanya application kila kukicha... Pia kumbuka kuna baadhi ya nchi pia zinatumia balozi zetu zilizoko hapa bongo so foleni ndo inazidi kuwa kubwa.Kwann.visa za canada zinachukua mda mwingi kutoka hadi six months na kuendelea
Niko West Europe.. sitotaja exactly nchi gani wadau wasije waka crack code ya my ID...Uko nchi gani Ulaya ?
Ulienda Kwa scholarship ipi .?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Benefits gani unazipata Kwa kuwa nchi hiyo?Niko west europe.. sitotaja exactly nchi gan wadau wasije waka crack code ya my ID...
Najilipia ada.. kwa masters sio ada kubwa sana .. ni kama euro 4000 kwa mwaka..
Pesa yao ina thamani sana.. hata ukifanya kaz ya kishenzi unaingiza mpunga mrefu kwa mwezi.. yaani kazi ya bongo ya kijinga kwa huku ni kazi unaingiza kipato kikubwa tu. Halafu ziko kibao... Ni wewe chaguo lako tu.. especialy za viwandani ndio kibao maana huku ni viwanda ving sana
Sawa sasa mimi naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?(namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?Pesa yao ina thaman sana.. hata ukifanya kaz ya kishenz unaingiza mpunga mref kwaa mwez.. yaan kaz ya bongo ya kijinga kwa huku ni kaz unaingiza kipato kikubwa tu. Halaf ziko kibao... Ni wew chaguo lako tu.. especialy za viwandan ndo kibao maana huku ni viwanda ving sana
Pili.. wanaathamin sana art... Mim imekua rahis sana and na enjoy sabab i do art.. na ndio lilikua priority namba 1 sabab nilijua kwa bongo hawatokuja thamin art zaid ya kukwambia kaz nzur na bla bla.. but huku it gives you so much money.
Plus benefits zingne. Kama health insurance ya uhakika... Also I get to travel the whole europe sabab visa yangu inaruhusu so na enjoy na watoto wakali.
Plus i am international now . Swagg imeongezeka..
Na zingne siwez elezea hapa
Hongera tu, sasa bongo hautarudi kuoa je hauji kujipatia jiko huku? Sensa inasema wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo urudi kupunguza mmoja[emoji3][emoji3][emoji3] nimewaza kwa sautiPesa yao ina thaman sana.. hata ukifanya kaz ya kishenz unaingiza mpunga mref kwaa mwez.. yaan kaz ya bongo ya kijinga kwa huku ni kaz unaingiza kipato kikubwa tu. Halaf ziko kibao... Ni wew chaguo lako tu.. especialy za viwandan ndo kibao maana huku ni viwanda ving sana
Pili.. wanaathamin sana art... Mim imekua rahis sana and na enjoy sabab i do art.. na ndio lilikua priority namba 1 sabab nilijua kwa bongo hawatokuja thamin art zaid ya kukwambia kaz nzur na bla bla.. but huku it gives you so much money.
Plus benefits zingne. Kama health insurance ya uhakika... Also I get to travel the whole europe sabab visa yangu inaruhusu so na enjoy na watoto wakali.
Plus i am international now . Swagg imeongezeka..
Na zingne siwez elezea hapa
Hahah.. kaka.. nmewaacha akina mwajuma ndala ndefu huko unataka nije kuwaoa tena. Hahah.. aisee.. huku naoa mzungu kaka.. lazima ukoo uwe na ma point 5 wa kutoshaHongera tu, sasa bongo hautarudi kuoa je hauji kujipatia jiko huku? Sensa inasema wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo urudi kupunguza mmoja[emoji3][emoji3][emoji3] nimewaza kwa sauti
Sasa huku nani ataoa? Wapo kina Rozi, Jenifer, Annette, pia na wewe una dada zako huku!Hahah.. kaka.. nmewaacha akina mwajuma ndala ndefu huko unataka nije kuwaoa tena. Hahah.. aisee.. huku naoa mzungu kaka.. lazima ukoo uwe na ma point 5 wa kutosha
Kiukweli nilitoka na mpunga mref sana.. I sold my car na lots of stuffs, biashara zangu zote niliuza. Inshort I was done na bongo... Nilitoka na mpunga mrefu.Sawa sasa mm naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?,( namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?
Je unatuambia nini sisi ambao pia tunatarajia kujiripua soon mwaka ujao tuzingatie nini kabla na baada ya kufika huko nini kitu cha kwanza kuanza nacho ili upate kazi chap..?
Na sasa unamake how much kwa mwezi total income before and after tax.
Shukrani nasubili muongozo!
N about cha kuzingatia.. lazima uwe na mipango kwamba unakuja huku lengo kuu ni nini... Mimi sababu ni artist.. Lengo kuu ni kuja fanyia kazi zangu huku.. na huku art ina thaman. Pili naongeza elimu hii inasaidia pia for your stay here na tittle...Sawa sasa mm naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?,( namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?
Je unatuambia nini sisi ambao pia tunatarajia kujiripua soon mwaka ujao tuzingatie nini kabla na baada ya kufika huko nini kitu cha kwanza kuanza nacho ili upate kazi chap..?
Na sasa unamake how much kwa mwezi total income before and after tax.
Shukrani nasubili muongozo!
Hahahahha... Ni kweli kaka... Ila malengo muhimu.. mimi lengo langu mojawapo ni kuoa mzungu kaka. Siwezi ishi huku halafu nije oa huko kina ndala ndefu... Wapenda pesa hahaha... Huku mademu hawaangalii sana pesa. Huku middle income ni 90% ya population.Sasa huku nani ataoa? Wapo kina Rozi, Jenifer, Annette, pia nawewe una dada zako huku!
Komaa kaka... Hiyo nchi uchawa unalipa.. sis wengne tulishindwa hilo ndo maana tukasepa. Haiwezekani tokea darasa la kwanza naongoza class tumefika hadi mavyuo vikuu halafu machawa ndio wanatukimbiza. Ukisifia tu unapewa shavu. Sie wengine hayo maisha tumeyashindwa. Hahaha... Tumewaachia wanaoyaweza wenye nchi yao.Tushazeeka sasa,
Wacha tukomae hapa hapa.