Mrejesho,usiombe yakukute!

Kwa kuwa niliahidi watoto wangu kuwa nitaondoka Alhamisi basi navuta subira ifike then niishie zangu,nipo disappointed ile mbaya!!
 
sasa mbona" hujatoa maelezo yoyote" kuhusu hiyo heading yako
 
Dah! Pole sana.
Hata hayo tumeumbiwa wanaume.
Fanya maamuzi.
 
Kwa kuwa niliahidi watoto wangu kuwa nitaondoka Alhamisi basi navuta subira ifike then niishie zangu,nipo disappointed ile mbaya!!
Hapo kwanza hakikisha kazi unaendelea nayo maana ukikosa hiyo kaz stress zitakuwa nyingi Sana, pia kaa chini jaribu kutafakari kuhusu hatima yako na familia hasa wazazi na watoto wako hiyo itakusaidia kujua lazima uoe tena au ule watoto kwanza
 
Katika maisha haya naogopa sana kumwamini kiumbe wa kike ..mkuu tulia na ufanye maamuzi sahihi kwa kila utakalo fanya
 
Dah! Pole sana.
Hata hayo tumeumbiwa wanaume.
Fanya maamuzi.
Akili yangu sasa inawaza kumuacha huyu mama watoto wangu pia,maana imefika mahali mpaka najuta kwanini nilikuja Singida!
 
Hapo kwanza hakikisha kazi unaendelea nayo maana ukikosa hiyo kaz stress zitakuwa nyingi Sana, pia kaa chini jaribu kutafakari kuhusu hatima yako na familia hasa wazazi na watoto wako hiyo itakusaidia kujua lazima uoe tena au ule watoto kwanza
Mkuu kazi siwezi kuacha,lakini nawaza namna ya kuendelea na maisha ya hivi,sikuwahifikiria kama maishani mwangu nawezafikia hatua hii!
 
Kwa kuwa niliahidi watoto wangu kuwa nitaondoka Alhamisi basi navuta subira ifike then niishie zangu,nipo disappointed ile mbaya!!
Mkuu angalia tu kwa story yako ilivyo watoto wanaweza kua sio wako pia labda kama wanafanana na wewe
 
hahaa kazi anayo " aende Zimbabwe tu Aisee" bongo hapa watamuua
Kimahesabu mke ana watoto 2 na hawara ana watoto 3. Bora kubaki na mke mchapiwaji mradi anunue Panadol na afanye mazoezi mengi kuchelewesha kufa kwa presha!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…