Mrejesho toka kwa bibi

Mrejesho toka kwa bibi

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Jana nilikuwa safarini kuja Kibondo kwa bibi kama nilivyo eleza lengo langu sio kuua japo bibi alinipa option
1, Kuua
2, Kutengua ndoa
3, Kumfanya awe anisi
4, Asiowe katika maisha yake yote kila akipata mwanamke wanakosana hata wiki haishi.
5, Kumuachisha kazi maana ndio inayompa kiburi

Ndo nimemaliza kazi sasa hivi nilichoamua kumfanya dushe isisimame na asiweze kupata mwanamke yoyote yule maishani mwake.

Kuhusu matunzo ya mtoto tutakutana ustawi wa jamii.
Nimefanya hivi kutokana na dharau alizonionesha, asingenioa sawa lakini dharau na majigambo hayafai.

Namuamini bibi kwani wengi wameshuhudia mafanikio.
Nadhan Jumatatu naanza safari ya kurudi home.

Asanteni
 
Anna pita AGAIN.............

ULIANZA MCHUMBA WAKO HAKURIDHISHI...
[h=3]Haniridhishi jamani[/h] Started by Anna pita, 16th October 2012 09:10

MARA BAADA YA MWEZI MKAOANA NA BADO HAKURIDHISHI..
[h=3]inauma sana[/h] Started by Anna pita, 13th November 2012 15:36

BAADA YA WIKI 2 TU..UKATAFUTA MSAGAJI..
[h=3]Wanaume stress tupu!![/h] Started by Anna pita, 26th November 2012 15:39

MARA UKAANZA KUTAFUTA KAZI ZA NDANI TENA MIKOA YA MBALI MBALI..
[h=3]Natafuta kazi za ndani[/h] Started by Anna pita, 19th August 2013 16:34

MARA GHAFLA UNAMCHUMBA TENA UMETAMBULISHWA UOLEWE
[h=3]tutaishije!!![/h] Started by Anna pita, 19th January 2014 21:52

NA SASA ANAOA MWENGINE.

[h=3]Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?[/h] Started by Anna pita, 9th October 2014 10:17
 
Anna Pita kama kweli umefanya hayo makitu sio powa ungeacha nature (karma) ilipize kisasi yenyewe sasa umejiingiza kwenye mambo ya ajabu jiandae kupambana hasa, manake na yeye akiamua kwenda kwa babu utakuta na wewe unakojoa maziwa kila siku
 
Ngoja nae aende kwa babu yake nawewe maku itajishona halafu inakua loading error kwa wote...
 
mikwara mingine banah!!!! kama kugegeda hata vidole ataingiza sio lazima dushe
kweli mkuu hata ulimi tu unatosha...na kukorofishana na mwanamke ndani ya wiki kwani kuna issue hapo!!kila wiki nachukua kifaa kipya
 
Uwiiiiiiii wewe dada ungekazana tu na ibada mungu angekulipia jamani visasi ni vibaya,pole bwana harusi mtarajiwa.
 
Unafikiri angeenda angekuja kutumbia hapa?!

Hakuna kitu km hicho!

Btw amri kuu za Mungu mojawapo ni hii:usiabudu miungu wengine' mimi Mungu wako ni Mungu mwenye wivu'

Biblia inasema ' amelaaniwa amtegemeae mwanadamu moyoni mwake amenwacha Mungu'.

Think twice
 
Anna pita AGAIN.............

ULIANZA MCHUMBA WAKO HAKURIDHISHI...
[h=3]Haniridhishi jamani[/h] Started by Anna pita, 16th October 2012 09:10

MARA BAADA YA MWEZI MKAOANA NA BADO HAKURIDHISHI..
[h=3]inauma sana[/h] Started by Anna pita, 13th November 2012 15:36

BAADA YA WIKI 2 TU..UKATAFUTA MSAGAJI..
[h=3]Wanaume stress tupu!![/h] Started by Anna pita, 26th November 2012 15:39

MARA UKAANZA KUTAFUTA KAZI ZA NDANI TENA MIKOA YA MBALI MBALI..
[h=3]Natafuta kazi za ndani[/h] Started by Anna pita, 19th August 2013 16:34

MARA GHAFLA UNAMCHUMBA TENA UMETAMBULISHWA UOLEWE
[h=3]tutaishije!!![/h] Started by Anna pita, 19th January 2014 21:52

NA SASA ANAOA MWENGINE.

[h=3]Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?[/h] Started by Anna pita, 9th October 2014 10:17

Hahahaa haaaa

Asante Tyta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom