Nimecheka pekee hapa kwa comment yako hii.Kuna watu watakuwa wanauhifadhi kwenye fridge!!!
Kivip,hebu fafanua vizurvipi nasikia kama unataka kumwacha mpenzi mwenye visa umpendaye na umeshindwa kabisa eti mkojo wa asubuhi unasaidia kumsahau kabisa na kuweza ku move on bilashida moyo mweupe na utamsahau mazima,jeh hili ni kweli au figisu?
Sent using Jamii Forums mobile app