Dada yangu Mwili Wako Sio Maonyesho Kila Mwanaume Auone,Mwili Wako sio Mdoli Kila Mwanaume Auchezee,Mwili Wako sio Dampo Upokee Kila Uchafu wa Mwanaume,Mwili wako sio Mali ya Umma kila Mwanaume Akutumie,Mwili wako sio Kiburudisho kila Mwanaume Ajiridhishe,Mwili wako sio Pazia la Sebuleni kila Mwanaume Akufunue.Jitunze,Jithamini,Jikubali na Jiamini..Cha kufanya sasa mvizie bafuni wakati anaoga Alikgoama bado basi kama ni mtumishi rudi umecehelewa zaidi na kama ni mama wa nyumbani muda wa kufika toka nyumbani au jifiche kwa jirani hata kama atapiga simu usipokee rusi home baada ya lisaa 1 au 2 akikuuliza ulikuwa wapi mwambie nilienda kunyunduliaPoleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Bila shaka utakuwa na six part tumboni bbyMapenz yameisha hapo mama,kusex ni zoez tosha....mwili unapungua wenyewe.Mfano Mimi mvivu wa zoez nikitaka kupungua nahakikisha naliwa daily kupumzika period tu after that napata positive results.Ha haa,ile mikunjo ni balaa
Six pack? Me?Bila shaka utakuwa na six part tumboni bby
Asikucheleweshe, toka njia kuu kidogoPoleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu
Hapo alipoandika ameanza dose ya kupunguza mwili mawazo yangu machafu yameenda mbali kinyamaShoga angu hapo kuna ma3 kama sio ma4
1. Yuko na penzi jipya huko nje na linafanya vizuri kwa sasa
2. Amekukinai (pengine umebweteka, umepoa, mashsham huna tena au udambu udambu hakuna )
3. Ameenza michezo mibaya (kapewa jicho huko nje )
4. Yuko na stress zake(ila sidhani😅😅)
Fanya kuchunguza, mtoto wa kike play smart, badilisha mbinu, au hujui power of P**sy
Ila pia mpe muda
NB: ni kwa uelewa wangu mdogo tu shoga angu me sijaolewa syajui ya ndoani😅😅
Joanah njoo utoe ushauri
😅😅😅 ndoa ndoano😅😅Hapo alipoandika ameanza dose ya kupunguza mwili mawazo yangu machafu yameenda mbali kinyama
Ampe muda mume huku akijaribu kuwa "mbunifu" kwa baadhi ya mambo kuyaacha ama kupunguza,kama kuna mazuri anayopenda mume aongeze
Kama wana/walishawahi kuwa na migogoro wajaribu kuisolve
Enwei,hata mie sijaolewa kama wewe my wetu Amehlo
Ya ndoani hatuyajui kiviiile
Dada umeziona hizo dozi?Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu
Adui ya mwanamke ni mwanamke.Sina harufu Wala tatizo lolote nipo tu vizuri alafu pia hanaga kinyaa maana kipindi tunafanya kuwa alikuwa anapiga deki kila sehemu Mimi kilichobaki sahivi nahisi tu Kuna mtu kamloga maana nishajikatia tamaa
Lazima kuna kigoli mwenye umbo la mdoli anakusaidia hapo!Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu
Huyo hana nguvu za kiume.
Inawezekana kabisa.Mmmh itakuwa zaidi ya hiyo ,wenye matatizo ya nguvu za kiume wanafanya fresh sema sio kwa ufanisi ,huyo wake amchunguze kama "Jogoo" anasimama dede,nina uhakika mzigo hausimami dede ndio maana kaambiwa na Dr apunguze mwili ili aweze kutibu ilo tatizo.
Jaribu kuoga ili uone mashine itasimama.Sasa ebu nishauri nifanyaje au nipe njia Bora ya kutatua hili tatizo kiukweli akili yangu sahivi ni Kama imeshafeli maana nmefanya kila jitihada Ila zimegonga mwamba
Itakuwa karogwa kweli Kwasababu wanawake wengi wanatumia ushirikina kuvuja ndoa na mahusiano mazuri kwenye nyumbaNimeshafanya mbinu zote ndugu yangu Ila hamna lolote Kuna wakati nawaza kalogwa bana eh! Nshajikatia tamaa mtu gani huyu Kuna siku niliamka na hasira nikataka kuondoka alichanganyikiwa kiukweli alivyosikia naondoka bahati nzuri Kuna mtu mzima aliingilia kutusuluisha nikamwelezea matatizo yang na mme wangu akiwepo uzuri yule baba ni mtu mzima Kama baba yetu akamwambia mwanangu jitahidi umridhishe mke wako usipofanya hivyo unamtengenezea mazingira ya kuanza kukusaliti alitushauri tu vitu vingi. akanambia mke wangu naomba usiondoke baada ya hapo nikajua hata tutafanya Ila wapi ana kazi tu ya kunipet pet nisiondoke inakera kwakweli Kuna muda kichwa kinajaa mawazo natamani hata nipige ukunga
I'm sure 100% jogoo hapandi mtungi ,hii inachangiwa na magonjwa,uzito mkubwa,ugomvi ,stress etc.....Namshauri dada ampetipeti wakiwa wawili kwenye old trafford /Lupaso Stadium kwa mkapa halafu aone kama jamaa atasisimka na abdalla kichwa wazi atasimama dede.Inawezekana kabisa.
Anasema akimgusa anarusha mkono hukoooI'm sure 100% jogoo hapandi mtungi ,hii inachangiwa na magonjwa,uzito mkubwa,ugomvi ,stress etc.....Namshauri dada ampetipeti wakiwa wawili kwenye old trafford /Lupaso Stadium kwa mkapa halafu aone kama jamaa atasisimka na abdalla kichwa wazi atasimama dede.
Anasema akimgusa anarusha mkono hukooo
Sasa hizo pesa na utajiri wanatafuta kwa ajili ya nani? Pesa inaliwa na mwanamke. Kama unatafuta pesa nyingi halafu hakuna beibe wa kuitafuna na kupiga nae shoo unakesha bure. Piga kazi pata pesa enjoy life na umpendaye.Masikini mnapenda sana michakato, Matajiri hawana hamu ya ndoa muda wote wanawaza miradi Yao weweunaanza kuwasogelea?
Hahauauha jahahhahahahh ujajakjahhahajSasa kama ana harufu si angelishamwambia halafu mwanamke hata anuke uchi vipi mwenyewe anajiona yupo kawaid tu