silence noise
Member
- Apr 23, 2017
- 54
- 29
Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini nilikwenda Muhimbili badala ya private baada ya kusikia wameboresha huduma. Nilifanyiwa ct scan ya kichwa na shingo na tatizo kuonekana shingoni, wanaita muscle spasm( misuli kukaza)
. nilipewa dawa na taratibu zingine za matibabu zinaendelea- mazoezi misuli ya shingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
. nilipewa dawa na taratibu zingine za matibabu zinaendelea- mazoezi misuli ya shingo.
Sent using Jamii Forums mobile app