MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 345
- 273
Hahahaha labda tuko mwezi wa sita tayari
asante mkuu typing error samahani nimerekebishaWameshawasili tayari trh 25/5/2017 ,,,duh
Embu soma upya ulichoandika
ni kweli wakuu nimerekebisha ilikuwa typing eror samahani kwa usumbufu uliojitokezaVery minor error. Sidhani kama error hiyo inabadilisha au kubatilisha maudhui ya bandiko lake.
Sitaki kuamini kuwa as a prudent person, hiyo date error ndo ulichokiona pekee cha msingi mpaka unaamua kukishikia bango.
-Kaveli-
nashukuru sana mkuu jamii forum is best among the best. kila wakati hat unbgemuuliza kitu kidogo alikuwa anabadilika na kuwa mwenye hasira sana ila sasa hivi du huwezi amini mwenye furaha kuu mno mkuuSo touching. Kwenye masuala ya magonjwa au kuugua, Jf imekuwa ni the best jovial family kwenye kupeana msaada wa hali na mali.
Poleni mkuu, na pia Mwenyezi Mungu amtangulie mgonjwa na kuendelea kuimarisha afya yake.
Zangu dua.
-Kaveli-
asante sana mkuu nikushukuru pia wewe kwa kuwa mwana jamii forum maana nyie kwa pamoja mnaifanya jamii forum kuwepoHongera mkuu kama ndugu yetu amepona.
Noted mkuuasante sana mkuu nikushukuru pia wewe kwa kuwa mwana jamii forum maana nyie kwa pamoja mnaifanya jamii forum kuwepo
amen nashukuru sana mkuu ni kweli it was too touching because he just 30s years of age tunamuhitaji sana katika ngazi ya familia na katika taifa pia ukizingatia ni mfanyakazi wa serikali. figo zote zilikuwa zimefeli kabisa ila mungu ni mkuu sana ninweza kusema amepona kabisa kwa hali yake nzuri mno mkuuSorry to say this man, @kavel your ID and sometimes style sounds like muhuni flan ila unaubinadamu Sana mkuu. Unaweza kuamini mtu hajaona chochote cha maana katika uzi wote ila kosa la tarehe tu.
Tukirudi kwenye mada, hii habari imenigusa sana. Vilevile sio wote wenye kukumbuka kushukuru au kutoa mrejesho kwa jamii.
Mungu aendelee kuwalinda na kuimarisha afya zao.
amen nashukuru sana mkuu ni kweli it was too touching because he just 30s years of age tunamuhitaji sana katika ngazi ya familia na katika taifa pia ukizingatia ni mfanyakazi wa serikali. figo zote zilikuwa zimefeli kabisa ila mungu ni mkuu sana ninweza kusema amepona kabisa kwa hali yake nzuri mno mkuu
nimekupata vema sana mkuu naamini kwa mawazo kama haya yakifanyiwa kazi basi hatutafikiria kwenda india kwa matatizo kama haya Tanzania itakuwa centre ya wataalamu kama hawa na mambo mengi yata pata dawa ajira, kipato kukua n.kNi kwa vile tu uwezo na wakati mwingine hospitali zetu vitendea kazi vinasumbua, lakini kufanya checkup za afya mara kwa mara ni muhimu sana pale inapobidi na uwezo kuruhusu.
Pia ni wito wa serikali kuwa na mikakati ya muda mrefu kuwa na hospitali za kisasa na wataam ili kuhudumia watu wengi kwa gharama nafuu.
Kama tumeweza kwenye taasisi ya moyo muhimbili na kwenye uwekezaji wa ndege, hata hili nna imani linawezekana, ni kuweka vipaumbele sahihi tu.
ni kweli na kwa kweli anavyoonekana hataki utani na afya yake kwa sasa anajali sana anachoelekezwa na daktari wake mkuuAlhamdulillah Mwenyezi Mungu ashukuriwe saana kwa kumponyesha haraka. Ila ushauri wangu kwa mgonjwa awe anafuatilia vizuri sana ushauri na nasaha za madaktari kwa asilimia mia bila kuwacha kitu.
Sorry to say this man, Kaveli your ID and sometimes your style sounds like muhuni flan ila unaubinadamu Sana mkuu. Unaweza kuamini mtu hajaona chochote cha maana katika uzi wote ila kosa la tarehe tu.
Tukirudi kwenye mada, hii habari imenigusa sana. Vilevile sio wote wenye kukumbuka kushukuru au kutoa mrejesho kwa jamii.
Mungu aendelee kuwalinda na kuimarisha afya zao.
asante mkuu tupo pamojaMkuu Samaritan, heshima kwako kaka. Awali ya yote, I like your ID. It portrays something very nice. I'm sure you are among of nice people.
Kuhusu ID yangu na life style yangu hapa JF, yawezekana kweli inanireflect as mhuni flani, but wewe ni wa kwanza kuniambia hili. Nakushukuru sana kwa hili ndugu yangu, coz limenijenga na umenisaidia, itabidi nijitahidi kuchange my life style humu Jf ili nisiendelee kuwa 'judged by looking at the cover'. Lol
All in all, thanks mkuu. I am really humbled.
Back to topic, kwakweli nimeguswa sana na hili bandiko. Insha-Allah Mwenyezi Mungu azidi kumfanyia wepesi mgonjwa ili arejee kwenye majukumu yake ya kitaifa na kuijenga family yake.
Zaidi nimefurahi mdau kutuletea mrejesho in a very kind manner. Japo wengine wao hawakuona dhima yoyote kwenye mrejesho huu bali typing date error tu.
Tuzidi kumtumainia Mungu.
-Kaveli-
ndio kabisa ni mdogo wake mama mmoja baba mmoja wamezaliwa tumbo moja kabisa, hakuna biashara hapo mkuu ni jambo la upendo kwa kaka ndilo lilifanyika mkuu. kwa ninavosikia hakuna madhara labda madaktari waliopo humu watusaidie mkuuKila la kher kwa mgonjwa!,samahani huyu donor ni mmoja wa familia ya mgonjwa amejitolea,au ilifanyika biashara huyu jamaa ameuzwa figo yake?,kubaki na figo moja hakuna madhara kiafya?...
Yeah udugu kusaidiana sio kufafana,hebu ngoja tuone Madaktari wanasemaje kuhusu hili..ndio kabisa ni mdogo wake mama mmoja baba mmoja wamezaliwa tumbo moja kabisa, hakuna biashara hapo mkuu ni jambo la upendo kwa kaka ndilo lilifanyika mkuu. kwa ninavosikia hakuna madhara labda madaktari waliopo humu watusaidie mkuu