Mrejesho: Nipo njia panda

pole sana mkuu BILGERT kwa kisanga kilichokupata, but amini ya kuwa yote hayo ni mapto unayoptia, so haina budi uyashinde, mwombe MUNGU akusaidie, uzuri au ubaya ni kwamba hata sisi tunaokushaur humu jukwaan, wengi wetu tumewah kuyaptia haya maumivu unayoyaptia ww, so tunapokushaur hatukushaur kwa MANENO tu, bali tunakushaur kwa UZOEFU tuliouptia, but all in all pole sana mkuu
 

Ahsante sana mkuu,pia shukrani sana kwa ushauri wako
 




shukrani sana kwa ushauri wako mkuu
 
Move on dogo, sahau mambo ya huyo binti, Mungu atakusimamia utapata mwingine. Lakini usije kutuambia sijui kaomba msamaha umeamua kurudiana nae. Hapo tutakuona ----.
 
ila bora amekwambia ukweli..tulia anza upya usikurupuke kwenye uchaguzi wako wa mwenza...jaribu kumtanguliza MUNGU kwa kila jambo...!
 

Sasa kijana najua unaumia sana cha kuafanya ni kuafuta namba yake ya simu iwe sms futa kama ukikuwa na picha futa na kila kitu kinachweza kuleta kumbukumbu,pia block namba yake,mpaka hapo usimwambie chochote kaka,tafuta mdem mwngne talatibu sio kwa halaka ili akupunguzie stless,naami huko wataachana tu haeatadumu hyo mteme kabisa sio demu hyo atakuzingua mpaka utahis kujiuwa,nasme hivyo mi yalisha nitokea hayo nashukuru mng mm nimjasili sana niumia kupita maelezo ila nilimfuta kabisa kichwani cha ajabu alikuja analia mpaka nyumbani kwetu,ila sikumsamehe kamwe,nawe nakwambia hyo si mke,utakuja lia kwa badae hasa kama mlipanga kuoana mhuuu!!!
 

Mkuu
Mshukuru Mungu, huyo hakuwa na mapenzi nawe, wewe ulichukua nafasi tu pale alipovurugana na huyo mpenzi wake. Hivyo hakuwa na mapenzi na wewe. Hata hivyo huwezi jua Mungu anakuepusha na nini.
 
Jifanye umemsamehe then hakikisha unafumua marinda yake
 


Duh boss pole endelea na life yako subiri bum liishe atarudi kuomba msamaha......!!!!
 
Pole sana ila ndio kawaida ya wanawake,maisha yako lazima yaendelee usimuwaze tena huyo si wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…