Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Natumaini wote mko salama,

Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu kuwa na ujauzito wa mpenzi wa zamani ilihali niko katika ndoa.

Uzi wenyewe huu hapa;

Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Kwakweli nilishindwa kabisa kuachana na huyu love of ma life, hivyo tuliliendeleza kama kawaida. Na nilikuwa siwezi pitisha siku mbili bila kuonana as mimba ilimpenda kweli na kumchukia mume wangu.

Mume wangu kwakuwa ni mtu mzima kiasi(tunapishana 10 years) alikuwa muelewa sana na alijua ni sababu ya mimba, hivyo nilimpiga stop hata mchezo nikawa simpi, mie ni kupeana raha tu na mpenzi wangu.

Mungu akajaalia nikajifungua mtoto wa kiume copy ya baba yake, yaani ni mchanga lakini hata hauulizi kabisa. Mume wangu hata hakustuka, au sijui alistuka ila akapotezea hata sielewi. Mama yangu mzazi alivyomuona mtoto tu alistuka nusu azimie maana anamfahamu huyo mpenzi wangu vizuri, aliniweka mtu kati semwa sana. Sikuweza kujibu kitu zaidi ya kulia tu.

Mama alinilaumu balaa, nililia na kuomba msamaha, akaniambia wa kumuomba msamaha sio yeye. Niliishi kwa woga muda wote hadi nilipoamua kuongea na mpenzi wangu juu ya mstakabali wa maisha yetu, tukakubaliana tuwaeleze wenza wetu then tuishi pamoja. Bahati nzuri wote tulikuwa na ndoa za bomani.

Nilimweleza mama yangu kuwa mimi naachana na mume wangu as nimechoka kuishi maisha ya aina ile, mama hakutaka hata kuongea na mimi ikabidi niongee na bibi. Bibi alistuka ila baada ya mazungumzo marefu alinielewa.

To cut the story short mazungumzo ya pande zote mbili yakafanyika na ndoa ikavunjika. Na sasa tumeshakamilisha taratibu za talaka na mwakani mwezi April ninafunga ndoa na baba wa mwanangu(kwa upande wake ilikuwa rahisi as mkewe aligundua mahusiano yetu akaamua kuondoka mwenyewe).

Najua nilichokifanya kimewaumiza watu wengi akiwemo mpenzi wangu wa zamani na mume wangu, wazazi wangu, ndungu na hata mrafiki. Ila ilibidi niitafute amani ya moyo wangu maana nilichoka kuishi kifungoni.

Nimewaomba wote msamaha na Mungu wangu.

Mnitakie maisha mema yenye heri wapendwa.

Muwe na siku njema.
wewe ni malaya tu..ila jiandae tu huyo ninja atakuja kukuutenda mpka utajuta kuzaliwa
 
Alafu kuna Juha mmoja haoni umuhimu wa Bikra kwa Mke wake. Hakika dunia inavioja.
 
Anonymous wewe Ni muongo Sana
 
Who am i to blame you?
 
umetafuta uhuru wako sawa , haina shida kwa mtizamo wako , ila karma lazima itakutafuna hata kma umetubu , kwasababu uliweka ahadi na mtu ukavunja , ukauvunja moyo wa mtu lazma uvune ulicho panda mkuu , hiyo haina mara mbili , kuvunja hiyo lazima ikukosti hata ikibidi kwa kifo cha kiumbe utakae mzaa , hiyo hainaga pande mbili mkuu , ubaya wa karma inajibu pale unaposahau kabsa kama ulifanya ubaya gani!.
 
Malaya tu....hii dunia ya sasa imejaa malaya haijawahi tokea toka vizazi vya binaadam vimeanza.huwa nawasisitiza sana vijana wenzangu wanaoingia maisha ya ndoa kwamba mwanamke mwenye kufaham thamani yao ni mama zao wazazi waliowazaa tu hivyo waangalie wanakoangukia.mtu unaweza maisha yako kuyamalizia jail kwa7bu ya mpumbavu mmoja tu aliekosa maadili!stupidity.
mama yako ni mzuri kwako , ila ukikaa na baba yako akakusimulia wanaomgegeda mamio au waliomgegeda mamio babio akavumilia unaweza zimia
 
Back
Top Bottom