Una fikra potofu sana , utaishi kwa wasiwasi mpaka lini mkuuNatumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..
Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu
Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Natumai mko wazima wote

Pole sana... Unadanganywa... Vaa ujasusi uanze kuchunguza nyenendo zao... Fanya kama hakijatokea kitu, kausha, vumilia kila utakaloliona machoni mwako hadi pale utakapopata ushahidi mzuri... Ila hapo mpo wake wawiliNatumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..
Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu
Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Aliingia chumbani kwa mke mdogo, huyu mke mkubwa hajagundua hilo...Unatakiwa uwe na akili za ziada za kunchunguza
Mwanaume hata kama sio mwanawe n mtoto wa nduguye hatuna utaratibu au utamaduni wa wanaume kuingia vyumba vya mabinti hata siku moja hua tunaingia sisi mama na sio baba
Amekosea hakupaswa kuingia huko na chunguza mwenyewe yawezekana sie mwanae ni mke mwenzio umeletewa bila we kujijua hata kama umemkuta ukweni lakini jua uwezekano wa kua mke mwenzio ni mkubwa
Aliingia chumbani kwa mke mdogo, huyu mke mkubwa hajagundua hilo...
Wasukuma kwenye vile vibanda vyao hamnaga privacy mle kwaoNatumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..
Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu
Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Usukumani kawaida dume linaweza kutafuna hata mwanaye kama amenonaNatumai mko wazima wote